Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Na ndio kwanza ana miaka 25.
YNWA
Man u hii mbovu,tukose point 3 ,
Kwani umri wa wastan kwa mchezaji ni ngapi?
Hahaha sifuti kabisaa narudia tenaa ndio kwanza ana 25 hivyo ana miaka ya ku deliva ya kutosha mpaka agonge 35 atakua kashanyanyua kwapa kwa makombe mpaka basi...Kwani umri wa wastan kwa mchezaji ni ngapi?
Futa hiyo kauli
Mpigwe tuu, 5+Wakuu kwahiyo mnasemaje leo??
Hii wame edit bana ,mpira haukufika huko mamaeeee
















Hii wame edit bana ,mpira haukufika huko mamaeeee
Hata nyie mmepewa carabao aiseee daaa
Nitamwambia Nini mwanangu kuaa hio ya kwanza si offside ila ya pili ni off sideView attachment 2141070
Wakuu kwahiyo mnasemaje leo??
Wakuu kwahiyo mnasemaje leo??
😂😂😂😂😂🙃🙃🙃🙃🙃🙃Duuuh haya muda unasogea leo mtihani kama Profesa apewe mikoba mazima Juni 2022 kuinoa Manchester United ama la.Hii wame edit bana ,mpira haukufika huko mamaeeee
Hata nyie mmepewa carabao aiseee daaa
Nitamwambia Nini mwanangu kuaa hio ya kwanza si offside ila ya pili ni off sideView attachment 2141070