Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo tunatumia Principles Tatu:-

1) Lesser of two evils (Wahuni's principle)
2) Current flows at low resistance conductor (Ohm's law)
3) Adui muombee njaa (Afande Sele's principle)

Hivyo leo hatuhitaji huruma yoyote kutoka kwa Manure bali tutafuata kile Principles zinavyosema.

Hatuko upande wenu hata kidogo wala hatuwatakii mema bali Principles ndiyo zinatutaka tuchague upande! Narudia ni Principles tu.

MY TAKE: Darwin ndiye atakayeamua matokeo ya leo 👉 Survival For the Fittest
Rule of jungle.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Game ya kwanza hatukufanya mazoezi kabisa ....

ila hii ya pili tulivoona Hadi Liverpool anashabikia tukasema wacha tufanye training masaa mawili .....

Then kimechowakuta man u kila mtu ameona
 
Asante sana. Hali ya Timu inasikitisha
Duuh inasikitisha kwa kweli. Mmekosa kabisa identity bora hata Ole staili yake ilijulikana huyu profesa sielewi mfumo wake ni upi.

Kingine naona wachezaji especially RB na LB na DM wa uhakika anahitajika Juni hiii na pia msiwe na haraka mkumbaliane na hali kwamba mpo chini msitafite quick fix kama Ronaldo mbali mjipe kama miaka 2 mbele kujenga kikosi taratibu hata kama mtamaliza nje ya top 4 sawa lakini kuwe na mipanga endelevu.
Kwa Ronaldo na Cavani mlipigwa aisee sio tegemeo kuwaweka mahala sahihi.

Pa kuanzia mpate Kocha sahihi,mpambane mmpate yule kocha wa Ajax anawafaa sana. Idara ya usajili pia fumueni haina msaada kwa timu.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom