uangalie wapi?Mb 100 nitaangalia kwel mechi?
ingia Yalla shootdaah hatari


Mb 100 nitaangalia kwel mechi?
Download app ya Yacine TV kitu HD safi kabisa.na mb nilikua nimeunga kwaajili ya hii mechi
Huyu kibarua chake kipo salama kabisa.awe makini sana maana tuna tabia kuotesha nyasi kwenye vibarua vya makocha #Mou #Ole #Benitez etc...


.
Diaz is a gem 💎
Wanaotumia mashine inabidi waingie yalla shoot.
Natumia app ya Football live na slide tu![]()
Upo chini ya mnara nin? Utakua unawnjoy sana basi in terms of quality-realtimeMb 100 nimeangalia Kwa DK 19 mpira
Mb zinatembea sio poa
Zamani mb 500 nilikua naangalia mpira full 90mins Ila now day sitoboi
ile fainali haikuwa kipaumbele chetu ..ndio maana tulipiga mpira mwingi lakini hatukufungaStong ndio nini? Hayo magoli mnayofunga na bunley si mngefunga siku ile ya fainali?