Elliot namkubali ila kwa mechi ya leo hapana
Stong ndio nini? Hayo magoli mnayofunga na bunley si mngefunga siku ile ya fainali?Nyie kuku ..Sisi chelsea tutakuwa stong tena ..angalia leo tunavyomla burnley ..jipangeni nafasi ya pili inatuhusu..
moyes atafurahi leo!!!
Can't expect anything less of the 3 crucial point.Definitely a lineup for our three points grab
Hahaha ana hamu ya ushindi wake ndani ya Anfield ameusaka sana na leo ana hamu nao sanaaaamoyes atafurahi leo!!!
awe makini sana maana tuna tabia kuotesha nyasi kwenye vibarua vya makocha #Mou #Ole #Benitez etc...Hahaha ana hamu ya ushindi wake ndani ya Anfield ameusaka sana na leo ana hamu nao sanaaaa
YNWA
daah hatari
maini yamekatika hapa tayaridaah hatari