OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
angalia ubao unasomaje ukoLeo unafungwa na burnley au sare ushindi sahau.
Sisi ndio Chelsea.
#CFC💙💙💙
angalia ubao unasomaje ukoLeo unafungwa na burnley au sare ushindi sahau.
kwani FSG tangu wameinunua liverpool wameleta makombe mangapi apo anfield?? unadhani sisi tunafanya biashara kiholela ..tangu 2010 mpaka leo hii liverkuku ina makombe mangapi? Roman ni legend ataleta wa aina yake.Kapambane kusaka mteja msije angukia pua darajani...
Hivi yule bilionea Laizer si umpe dili ainunue hii timu chap maana muda si mrefu mtajikuta mnamilikiwa na Malkia hivi hivi.
YNWA
Bado umesimama au umeanguka?Nasimama na West Ham.
Sasa wewe unataka Westah atupige ili aje akutoe hapo nafasi ya 3 au?Come on West Ham
Piga mbuzi hawa.
Tulia hivyo hivyo timu ipo sokoni inapigwa mnada haha najua inawauma sana kwani Roman yeye anachojua ni kushinda tu hakuna sijui kujenga kikosi bla bla yeye anataka makombe tu na ela ilikuwepo sasa tetesi mnaangukia kwa Mswisi au Yankees haha ndio utaelewa vyema ile policy ya sell to buy ina maana gani..kwani FSG tangu wameinunua liverpool wameleta makombe mangapi apo anfield?? unadhani sisi tunafanya biashara kiholela ..tangu 2010 mpaka leo hii liverkuku ina makombe mangapi? Roman ni legend ataleta wa aina yake.
#CFC💙💙💙
uyo mununuzi lazima afuate utaratibu uliopo ..sisi ni makombe tuTulia hivyo hivyo timu ipo sokoni inapigwa mnada haha najua inawauma sana kwani Roman yeye anachojua ni kushinda tu hakuna sijui kujenga kikosi bla bla yeye anataka makombe tu na ela ilikuwepo sasa tetesi mnaangukia kwa Mswisi au Yankees haha ndio utaelewa vyema ile policy ya sell to buy ina maana gani..
YNWA
Hizi hate duhTimu inarudi ilipotoka,kila kitu kina mwisho.
Wabahatike wapate wale wa visima vya mafuta.
Bila hivyo wanarudi kwenye asili yao tu hiyo ni timu ya kawaida tu,
Man U alivyoondoka Ferguson,walikuahawataki kuamini kama watakuwa timu ya kawaida sasa hivi wanajionea wenyewe.
Hata hao Chelsea hatutaelewana saizi,mpaka baadae.
Huyo ligi alishaizoea huyo atakayekuja anakuja na utaratibu wake Lazima wayumbe kwanza au watayumba mazima kama Man U.



sisi hatuna mupango ma nafasi ya tatu ..Sisi tunaitaka hiyo ya piliSasa wewe unataka Westah atupige ili aje akutoe hapo nafasi ya 3 au?
Hatuhitaji ubingwa wa kusaidiwa na Manchester united hatutaki ubingwa wa masimango kwetu, Tutapambana wenyewe na bahati nzuri bado tuna mechi na City.Liver fans kwa asilimia 100 kesho watakuwa fans wa mashetani wekundu. Huy ndio utamu wa football
Ichukueni ni yenu yakugombania nyie na man city sisi nafasi yetu ya kwanza.sisi hatuna mupango ma nafasi ya tatu ..Sisi tunaitaka hiyo ya pili
upo apo buza sijui tandale kwa tumbo ..umeishashiba maharage na chapati za mama mshana ..sasa umeweka tu mguu juu unajamba ushuzi matokeo yake ndio unaandika upumbavu kama huu.Timu inarudi ilipotoka,kila kitu kina mwisho.
Wabahatike wapate wale wa visima vya mafuta.
Bila hivyo wanarudi kwenye asili yao tu hiyo ni timu ya kawaida tu,
Man U alivyoondoka Ferguson,walikuahawataki kuamini kama watakuwa timu ya kawaida sasa hivi wanajionea wenyewe.
Hata hao Chelsea hatutaelewana saizi,mpaka baadae.
Huyo ligi alishaizoea huyo atakayekuja anakuja na utaratibu wake Lazima wayumbe kwanza au watayumba mazima kama Man U.
Kumaliza haya maneno pambana tukutane FA na Champions League fainali.uyo mununuzi lazima afuate utaratibu uliopo ..sisi ni makombe tu
Na msimu huu UEFA inatuhusu tena.
Sisi tunasubiri mbanga yeyote fainal tumle nyama.