juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Hapa huenda tukaangukia kwa wazee wa soccer,Developing News
View attachment 2136549
Hziyech22
OllaChuga Oc
ryana fan
lembu
Habari ndio hii yamesemwa sasa yametimia.
YNWA
Hapa huenda tukaangukia kwa wazee wa soccer,Developing News
View attachment 2136549
Hziyech22
OllaChuga Oc
ryana fan
lembu
Habari ndio hii yamesemwa sasa yametimia.
YNWA
Acha utoto basi wewe mumamaaaa ,si Kuna Uzi wa picha za warembo na kula kimasiara huko






Kwa hiyo hio picha ni ya Liverpool au ni tangazo la kula kimasiara





Yaani hapo maombi yenu msipate mwekezaji kutoka America aisee yaaani ma Yankees wana tabu sana kutoa ela.Hapa tupo tunaomba tunampate tajiri atakayekuwa na mapenzi na timu kama alivyokuwa Abramovic mambo yataenda sawa kama mwanzo
Huenda yule Jim Ratcliffe akarejea tena na ofa yake.Hapa huenda tukaangukia kwa wazee wa soccer,
Nimechanganya nyuzi mkuu sorry.Acha utoto basi wewe mumamaaaa ,si Kuna Uzi wa picha za warembo na kula kimasiara huko![]()
Jiheshimu basi,,,siyo lazima utukane matusi.Kwa hiyo hio picha ni ya Liverpool au ni tangazo la kula kimasiara![]()
Matajiri wakingereza n marekani wote wanatabia sawa,wakwo kwa ajilo ya faidHuenda yule Jim Ratcliffe akarejea tena na ofa yake.
YNWA

Abramovic katangaza kuondoka mazima UK na kila kilicho chake! Hivyo Kuna dalili Mmarekani akaichukua hii Timu.
Mmarekani akichukua Timu dalili ya usajili wa Sell to Buy inanukia hapa.
lembu
JidanganyeTimu inarudi ilipotoka,kila kitu kina mwisho.
Wabahatike wapate wale wa visima vya mafuta.
Bila hivyo wanarudi kwenye asili yao tu hiyo ni timu ya kawaida tu,
Man U alivyoondoka Ferguson,walikuahawataki kuamini kama watakuwa timu ya kawaida sasa hivi wanajionea wenyewe.
Hata hao Chelsea hatutaelewana saizi,mpaka baadae.
Huyo ligi alishaizoea huyo atakayekuja anakuja na utaratibu wake Lazima wayumbe kwanza au watayumba mazima kama Man U.
Matajiri wakingereza n marekani wote wanatabia sawa,wakwo kwa ajilo ya faid
Huyu dogo anahitaji mazoezi zaidi ya kifikra aweze kuwa mfungaji. Kwa sasa anakimbia na mpira pasipo mwelekeo wa kupata goliView attachment 2129361
New dribbler in town.
Hahaha na bado anaedelea kupewa tips za kucheza Liverpool way.
Huyu dogo ki ufupi kaja pia kaletwa kimkakati kumshusha Salah kwenye madai ya mshahara aisee maana sio kwa mishe zile yaaani mwanzo mwisho hachoki wala nini, haogopi kujaribu yupo Street Football zaidi. Hawa FSG sio watu powa kabisa wana tactic balaa. Kabla Diaz hajaja Salah alikua ndio kawashika vizuri FSG lakini sasa naona baada ya ujio wa Diaz hawa FSG sasa wana pakuanzia kumshusha mshahara pengine atue mpaka hio 300k kwa wiki.
YNWA
View attachment 2129382
Crazy how this boy is sometimes underrated.
Yaaani ile false 9 ni typical ile ya Firmino kabisa.
YNWA