Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tough one. Jamaa huwa wanatukamia sana.

But i trust the boys.

YNWA.
Nafasi ya nne msimu huu inatakiwa na timu nyingi sana wakiwemo Manchester United, Wolverhampton Wanderers, Arsenal, Westham na Tottenham hivyo sio mechi rahisi kwetu na ukizangatia kwa timu za kupiga kaunta imekua ni changamoto kwa kuweka high line defence.

Sio mechi rahisi lakini sitegemei tupoteze Anfield kwa vile kwanza momentum tunayo baada ya kutwaa Carabao na Manchester City kuruhusu turudi kwenye mix upyaaaaa.

Tunahitaji ushindi kesho na si kingine.

YNWA
 
Screenshot_20220304_201418_com.android.chrome_edit_21531569885256.jpg


No Matip.

No Thiago.

Duuh.

Je nafasi ya Matip, Kati ya Konate na Gomez acheze nani?

Je nafasi ya Thiago, kati ya Jones, Ox, Keita na Elliott acheze nani?

YNWA
 
Hahaha tetesi za kitaa Jumapili hii ndio Manchester United wanaanza rasmi mipango ya kudhibiti nafasi ya nne.

Usidhani ni gemu rahisi kwako.

Na presha itakua kwako pale sie tumeshinda mtacheza na tension sanaaaa.

YNWA
United sio kwamba wanacheza vibaya tu ni kwamba ,anguko lao lishafika hawana bahati hata Ronaldo abaki na goli pekee yake hawezi kufunga


Hawa tunawapiga goli 3 mapema kabisa mkuu ..keep watching
 
United sio kwamba wanacheza vibaya tu ni kwamba ,anguko lao lishafika hawana bahati hata Ronaldo abaki na goli pekee yake hawezi kufunga


Hawa tunawapiga goli 3 mapema kabisa mkuu ..keep watching
😂😂😂😂😂😂😂😂Bwana weee CR7 no more haha na mshahara ule ila Manchester United walichemka kwa huyu bwana aisee wangeacha atue kwenu kama ilivyotangazwa, hua najiulizaga wenzetu wanaangaliaga mpira upi maana CR7 tangu yupo Juventus alionekana kuanza kuchuja ina maana kumtegemea eti ndio awarejeshe kileleni ilikua ni zilipendwa aisee japo kwangu naona sawaaaa wapoteana kabisaaaaa hukooooooo.

Ila ndugu bila Diaz hizi wiki 3 jiadae kuishi maisha ya wasiwasi sanaaaa🤔🤔..

YNWA
 
Bwana weee CR7 no more haha na mshahara ule ila Manchester United walichemka kwa huyu bwana aisee wangeacha atue kwenu kama ilivyotangazwa, hua najiulizaga wenzetu wanaangaliaga mpira upi maana CR7 tangu yupo Juventus alionekana kuanza kuchuja ina maana kumtegemea eti ndio awarejeshe kileleni ilikua ni zilipendwa aisee japo kwangu naona sawaaaa wapoteana kabisaaaaa hukooooooo.

Ila ndugu bila Diaz hizi wiki 3 jiadae kuishi maisha ya wasiwasi sanaaaa..

YNWA
Stone na Laporte watafanya kazi yao ....ila Laporte huwa anachoma sanaa,nikikumbuka game ya Spurs daaa .....

Mwisho wa siku tunakutana na man u ambayo haipo kwenye kiwango kivile ...labda tu mambo mengine ya kimpira yatokee ......!

Nakumbuka Hawa nyumbu walimwamkia vzuri Chelsea ,Chelsea hakuamini
 
Stone na Laporte watafanya kazi yao ....ila Laporte huwa anachoma sanaa,nikikumbuka game ya Spurs daaa .....

Mwisho wa siku tunakutana na man u ambayo haipo kwenye kiwango kivile ...labda tu mambo mengine ya kimpira yatokee ......!

Nakumbuka Hawa nyumbu walimwamkia vzuri Chelsea ,Chelsea hakuamini
Laporte kama sikosei ana win percentage per game zaidi ya beki wako wote hivyo jiulize kwa nini gemu zote kubwa jamaa akiwa fit hakosagi kabisa kucheza.

Itakua gemu powa sana endapo tutakua tumeshinda kesho na pia timu zinazohitaji kuingia top 4 pia ziwe zimeshinda ili Raghnick awe na jambo lake Ethad haha...

YNWA
 
Mkuu unawachukuliaje poa na wakati walitufunga?

Mkuu hawata pata goli hata moja hao.
Kwa kucheza 4 3 3 high line defence na kukosa mchezaji wa kutuliza kasi ya mpira pale kati hawa Wagonga Nyundo watakuja mazima ukumbuke pia hawapo nfasi mbaya kushuka daraja wapo nafasi ya 5 hivyo hawana cha kupoteza zaidi ya kusaka kumshusha Manchester United alipo.

Itakua gemu kali sana.

YNWA
 
Nyie kuku ..Sisi chelsea tutakuwa stong tena ..angalia leo tunavyomla burnley ..jipangeni nafasi ya pili inatuhusu..
Kapambane kusaka mteja msije angukia pua darajani...

Hivi yule bilionea Laizer si umpe dili ainunue hii timu chap maana muda si mrefu mtajikuta mnamilikiwa na Malkia hivi hivi.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom