Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahaha wanastahili bila Webb na Fergie hawana tena ukali hata Watford anajipigia kabisaaaaa.Mpira hauwafai tena
Waje tuungane kulima mbogamboga
YNWA
Hahaha wanastahili bila Webb na Fergie hawana tena ukali hata Watford anajipigia kabisaaaaa.Mpira hauwafai tena
Waje tuungane kulima mbogamboga
Tulishakumbaliana tukuchukue one game a time hivyo Mkuu lolote linaweza tokea kwa sasa na pazuri kikosi kipo kamili sanaaaa.Mkuu nawaza hapa,inawezekana msimu huu hii ikawa ndio Liverpool bora kuwahi kutokea,kama ikienda hivi makombe yote yaliobaki tukayabakiza pale anfield?
Hivi kwa mfano Everton wakashuka daraja kwa touati tu ya pointi moja duuh yule refa na jopo lake watakua sworn enemies yaani.Kawaida yao hao,ile ya vvd lefa alikubali baadae kuwa Pickford alitakiwa ampe card.
Yule mzee mbishi hivi kweli kwani imekua mchezo wa hand ball eti man marking jamani hivi Robertson na TAA unaweza kweli kuwafanya man marking hivi hivi na ukafanikiwa.Hapo kugumu ukibaki misimu minne wewe kocha kweli.
Pazuri jamaa yangu ni kwamba Liverpool akishapata intensity basi humzimi tena aisee wewe subiri tukiwapiga Inter Milan Anfield basi wengine wajiadae kwanza ile miezi yetu February na January hakukua na ule upepo wa miaka yote. Hii ishara njema sana.
Ungongeza basi kwenye akaunti yako mpya A.K.A King NgwabaNipo nipo Ndugu just I came back with my backup Account after my Account with the ID (King Ngwaba) stolen or hacked by an unknown person and blocked.
Kweli kabisa.Hahaha binafsi hua nasema mara nyingi tu usajili bora wa Klopp kwa ukuta ni Alisson na VVD yaaani hawa wawili wamatuletea mafanikio unayona..
Mtalaam Fergie alikua anasema ukuta imara akimaanisha na kipa utakupa makombe na hakika alikua sahihi kabisa.
YNWA
Wanatia huruma sanaHahaha wanastahili bila Webb na Fergie hawana tena ukali hata Watford anajipigia kabisaaaaa.
YNWA
Hapa tupo tunaomba tunampate tajiri atakayekuwa na mapenzi na timu kama alivyokuwa Abramovic mambo yataenda sawa kama mwanzoDeveloping News
View attachment 2136549
Hziyech22
OllaChuga Oc
ryana fan
lembu
Habari ndio hii yamesemwa sasa yametimia.
YNWA