Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,299
- 15,028
Vp amevuka hajavukaNawakumbusha tu kuwa Liverpool haijawahi kuvuka FA round ya 4 Toka klopp anafika .....!
Ni mwendo wa kipigo hata akutane na mbeya city uwanjani ...!
Vp amevuka hajavukaNawakumbusha tu kuwa Liverpool haijawahi kuvuka FA round ya 4 Toka klopp anafika .....!
Ni mwendo wa kipigo hata akutane na mbeya city uwanjani ...!
Anafit zaidi as number 10, ndio maana a struggle Kwa style ya kloppJe Minamino akipewa nafasi mbele ya Mane kwenye PL ata deliver kama anavyofanya kwenye cup games?
Crap 💩Nawakumbusha tu kuwa Liverpool haijawahi kuvuka FA round ya 4 Toka klopp anafika .....!
Ni mwendo wa kipigo hata akutane na mbeya city uwanjani ...!
Ukiona nyani mjini… ANA MWENYEWETimu inarudi ilipotoka,kila kitu kina mwisho.
Wabahatike wapate wale wa visima vya mafuta.
Bila hivyo wanarudi kwenye asili yao tu hiyo ni timu ya kawaida tu,
Man U alivyoondoka Ferguson,walikuahawataki kuamini kama watakuwa timu ya kawaida sasa hivi wanajionea wenyewe.
Hata hao Chelsea hatutaelewana saizi,mpaka baadae.
Huyo ligi alishaizoea huyo atakayekuja anakuja na utaratibu wake Lazima wayumbe kwanza au watayumba mazima kama Man U.
Nawakumbusha tu kuwa Liverpool haijawahi kuvuka FA round ya 4 Toka klopp anafika .....!
Ni mwendo wa kipigo hata akutane na mbeya city uwanjani ...!
Nawakumbusha tu kuwa Liverpool haijawahi kuvuka FA round ya 4 Toka klopp anafika .....!
Ni mwendo wa kipigo hata akutane na mbeya city uwanjani ...!
Pole,mwanaume hapaswi kukariri...Nawakumbusha tu kuwa Liverpool haijawahi kuvuka FA round ya 4 Toka klopp anafika .....!
Ni mwendo wa kipigo hata akutane na mbeya city uwanjani ...!