Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hako kakepa walivyokasalia Sala zote,wamekazunguka nako kanaviringisha Mpira kwenye jezi Huku kanasali nikawaza tu kuwa Leo moto utawaka
,,
Kalivyopaisha sikuamini.


...
Ile mechi imenifundisha kumbe mchezaji anatakiwa kuwa flexible.
Muda wowote atatakiwa kupiga penalty,,kipa akipewa redcard itabidi afanye kazi ya kukeep goli aisee
Ilinishangaza kidogo kuona wachezaji wooote wamepiga penalty..na wakapata.




Klopp sasahivi ni levo zingine.
Man u sijui hata wafanyeje na timu lao like aisee
Penati hua hazina mwenyewe nina uhakika siku nyingine Thomas Tuchel hatamtoa Mendy ili Kepa aingie kudaka penati, ile sub ilikua kamari na angeokoa mbona bei yake June 2022 ingekua balaaa 😂😂😂.. We were lucky maana kwa penati you need luck.

Manchester United ni kijiwe cha kupiga ela aisee hivi kweli waliamini Ronaldo anawarejesha kileleni haha gemu 10 sijui anagoli 1 yaaani na mshahara wa zaidi 1 billion tsh ni aibu. Wakati mwingine kama hawa FSG hua nawaelewa na policy zao za kununua ma kinda tu with exception ya special talent kama Thiago.

YNWA
 
Penati hua hazina mwenyewe nina uhakika siku nyingine Thomas Tuchel hatamtoa Mendy ili Kepa aingie kudaka penati, ile sub ilikua kamari na angeokoa mbona bei yake June 2022 ingekua balaaa .. We were lucky maana kwa penati you need luck.

Manchester United ni kijiwe cha kupiga ela aisee hivi kweli waliamini Ronaldo anawarejesha kileleni haha gemu 10 sijui anagoli 1 yaaani na mshahara wa zaidi 1 billion tsh ni aibu. Wakati mwingine kama hawa FSG hua nawaelewa na policy zao za kununua ma kinda tu with exception ya special talent kama Thiago.

YNWA
Kama hazina mwenyewe basi Tuchel hakuwa na haja kumtoa Mendy.
Ila jamaa alinikosha roho yangu alovyopaisha..
Yaani na Mimi niliinuka juu kama Mpira mpaisho wa Kepa.



Ifike mahala man u ivunjwe tu,wauze kila kitu wakalime.
 
Ila Leeds wameporomoka kwa kasi ya 5G. Wamegawa pointi kama njugu bora yule babu katimuliwa wacheze mfumo unaoedana na wachezaji walionao wazima.

Otherwise gemu ili balance ndio maana tukafika matuta tukafanye jambo moja its coming home la 9.

YNWA
Bielsa alikuwa anawashusha leeds, watu walikuwa washamjulia,
 
Kama hazina mwenyewe basi Tuchel hakuwa na haja kumtoa Mendy.
Ila jamaa alinikosha roho yangu alovyopaisha..
Yaani na Mimi niliinuka juu kama Mpira mpaisho wa Kepa.



Ifike mahala man u ivunjwe tu,wauze kila kitu wakalime.
Hahahahaha wakalime jamani ndio tumewachoka hivyooo ni shindaaaaa.

YNWA
 
Mwenye update ya majeraha ya Thiago Alcantara.
Ni misuli ya paja(hamstring) inamsumbua uzuri anaweza kupona ndani ya wiki hii kwani kuto cheza Jumapili dhidi ya Chelsea kulimsaidia hakutonesha jeraha na kurudi sasa ni aidha mechi ya Westham au Inter Milan.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Kabisa inapobidi kama vile lazima wote wawajibike na Klopp iliwaadaa kabisa kwa yatakoyanayo siku ile.

Kepa walimwadaa kudaka wakasahau kuna kupigaaa hahaha yakamkuta.

Ni muda wetu wa Liverpool tumechekwa sana, tumeteswa sana, tumesemwa sana mara ooh 1 man team (Salah) sasa unajiuliza zile penati zote alipiga Salah peke yake .

Klopp ni levo zingine wakati anajenga kikosi wapo waliomuona kama mpita njia lakini sasa nimeona mpaka Rio Ferdinand akiwashauri Manchester United wafuate mbinu za Liverpool kurudi kileleni hivyo wajipe kama miaka miwili kurudi kwenye kushindana na kuwania EPl au UCL yaaani ukiona sworn enemy akina Rio, Neville wanasema jambo njema kuhusu Liverpool ujue jamaa zangu tupo kwenye laiti traki.


YNWA

Mkuu nawaza hapa ,inawezekana msimu huu hii ikawa ndio Liverpool bora kuwahi kutokea,kama ikienda hivi makombe yote yaliobaki tukayabakiza pale anfield?
 
Ila Golikipa ni mtu wa muhimu sana kwenye timu.
Yeye ndiye ataamua mshinde au mshindwe.


Mara nyingi tumekuwa tukirecognize juhudi za wafungaji tu bila kuwaza kwamba hatq wangefunga vipi,kipa wetu na mabeki wasingefanya kazi vizuri basi ingekuwa kazi bure tu
Hahaha binafsi hua nasema mara nyingi tu usajili bora wa Klopp kwa ukuta ni Alisson na VVD yaaani hawa wawili wamatuletea mafanikio unayona..

Mtalaam Fergie alikua anasema ukuta imara akimaanisha na kipa utakupa makombe na hakika alikua sahihi kabisa.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom