Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool ni bingwa aheshimiwe.ayo mengine ni useless porojo.sisi Liverpool tunaamini kua refa kawabeba Sana chelsea.full stop
 
Nahis kwa kovacic mpira ulimgonga tumbon even drurry alikubalian na maamuzi ya refa
 
Salah was off jana

He needs some resting
Bad day at the office its happens man.

If he can rest mpaka weekend atakua amerudisha makali but shout out to Rudiger no wonder he is on that high demand if Chelsea dont agree on a new deal he has many suitors i won't mind having him beside VVD hahaha.

YNWA
 

Hawa VAR ni binadamu jamani na ni msumeno unakata kote kote utashangaa siku inakupendelea na siku inakumaliza.

Kwa mfano Everton hapa wamenyimwa penati juzi lakini Everton hawa hawa kipa wao alimvuja VVD mguu jeraha la kumaliza kabisa career yake lakini hata kadi wala refa kwenda kutazama kwenye ki TV hakwenda matokeo yake wote mnajua vipigo tulivyopata kukosa VVD pale nyuma.

Mechi ya jana refa alijitahidi sana kwanza alikua neutral maana gemu ilikua na presha kali hata kadi hakutoa hivi hivi. Chelsea aidha mmeonewa au la that done jipangeni Mashindano bado yapo mnaweza kumbeba FA ama UCL.

YNWA
 
Unampenda sana Bobby eeh?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jana kulikuwa hakuna sababu ya Tuchel kufanya sub ya kipa. Ukizingatia mendi alikuwa na Spirit since mwanzo wa mchezo. Akaingixa Kepa aliyekuwa na wenge. TT jana kavurugwa but ndiyo mchezo
Penalt ni kama kucheza kamali vile, why nasema hivyo stats zinambeba kepa kwenye pena kuliko mendy,

Refer super cup vs villareal,
Carabao cup vs southampton n aston villa zote hizi kepa ndio aliamua

It happens penalt hazina mwenyewe even John Terry aliwah miss penalt muhim kuliko hata ya kepa
Hiv vitu huwa vinatokea, na hakuna guarantee kwmba mendy angedaka hata penalt moja

Angedaka mendy then asingedaka hata moja tungerufi kusema why hakumuweka kepa wakat kepa ni mzuri kwenye penalt

Siku zote bahat huwa haiko upande wako, jana tulikuwa hatuna bahati tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…