Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Knock knock here comes new boy
YNWA
YNWA
Yeah niliona wanasema plan ilikuwa ni kifanya revamp summer 2022 ila baada ya kuona potential targets (especially Diaz) anawindwa kwa karibu na Spurs wakaona ni noma kuporwa tonge mdomoni.Baada ya Elliott kupona na Jones, Ox kurudi naona Klopp anakomaa na alionao pale kati kwanza na ukumbuke pia Thiago anatarajia kurudi na Keita pia ..
Bissouma ni Juni 2022 ndio mpango. Hopefully atakua bado yumo maana Aston Villa walionyesha nia kwa £30m January hii.
YNWA
Very true. Dogo ana potential ya kuja kuwa one big thing.Hahaha bwana wee huyu dogo atue kwa kweli ni kipaji aisee kusubiri Juni 2022 usishangae wakatuzidi wengine donge nono la mshahara nk...
Amefunga magoli 11 katika gemu 19 msimu huu na kwa umri wake na kule Championship kulivyo kugumu sio haba ujue...
YNWA
Hahahaha time to move the dead woods bhana khaaa tumekaa nao vya kutosha...Yeah niliona wanasema plan ilikuwa ni kifanya revamp summer 2022 ila baada ya kuona potential targets (especially Diaz) anawindwa kwa karibu na Spurs wakaona ni noma kuporwa tonge mdomoni.
So na expect summer window kutakuwa na suprises za kutosha in terms ya addition and pruning.
Time for our 'beloved' old English midfielders to part way 😂😂
Huyu jamaa nimemuangalia ni Coutinho styleTrending now
(🟢) NEW:
Liverpool trying to sign Fabio Carvalho before the deadline. [Sky/Vinny O’Connor]
Sasa pengine Melo anaweza kwenda Arsenal...
Kwanza hapo mtaanza kula kichapo kutoka kwa lecister cityView attachment 2101961
Haya wakuu, hyo ndo kaz tulyoibakisha EPL.
Na kwa kikosi hichi kipya wapnzan wajiandae kuumia na kuachia usukani mapeema.





Kikosi chote kitakuw kimerud 😆😆😆😆Kwanza hapo mtaanza kula kichapo kutoka kwa lecister city![]()
Wazi mkuu👍👍Sasa pengine Melo anaweza kwenda Arsenal...
Juventus hapa wamepata mwamba na wangesubiri mpaka Juni ingekula kwao.
YNWA