Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah! Shida la hii thread viingereza mixer kiswahili ni vingi sana, hivi ukiichambua football kwa kiswahili utapungukiwa na nini? Senene ukichanganya na dagaa unaweza harisha aisee
 
Kuna perspectives.

Keita ame-fail kudeliver kama tulivyotegemea kutokana na his injuries, ambazo ki-ukweli zime hinder his career at LFC, na pia inaweza kuwa viewed kama ni failed project kutokana na price tag aliyonunuliwa.

But, you cant take away his TALENT, na huwezi kusema hajasaidia kila anapopewa nafasi uwanjani.

For me, i believe kwenye his talent (not because he's my fellow African), and kama atapewa mkataba mpya it means Klopp & the Club bado wanaamini in his service.

Kama Matip ameweza ku-overcome his injury problems, i hope itakuwa the same kwa Keita.
naamini pia talent anayo ila hai isaadii kitu LFC na namna tulivyoaminishwa kuhusu huyu mchezaji, Matip ni majuruhi sawa ila nadhani unaona impact yake pindi anaporudi, shakir alikua hana game time nyingi lakini impact aliyokuwa nayo pindi akipewa nafasi unaiona, KEITA ni gunia la misumari LFC imejitwisha, ni muda wa kulitua
 
naamini pia talent anayo ila hai isaadii kitu LFC na namna tulivyoaminishwa kuhusu huyu mchezaji, Matip ni majuruhi sawa ila nadhani unaona impact yake pindi anaporudi, shakir alikua hana game time nyingi lakini impact aliyokuwa nayo pindi akipewa nafasi unaiona, KEITA ni gunia la misumari LFC imejitwisha, ni muda wa kulitua
Dah, hivi unaangalia mechi Keita anapocheza kweli?
 
Naweza kuwa temped kuwa-rest Fabinho & Thiago against Leeds on Wednesday, but looking back kuhusiana na matokeo ya Man City the other, naona kuna uwezekano wa kumuanzisha mmoja wao, but knowing our lucky, inaweza tokea injury out of nowhere.

We need them in the final against Chelsea.

Leeds are coming at Anfield, so just start the same midfield iliyoanza against Norwich, then mambo yakiwa magumu, change it kwenye half-time, naona Jones hajapata nafasi ya kucheza kwa muda mrefu, so he should be in contention, just dont risk Fabinho & Thiago unless mambo yakiwa magumu.

Henderson, Keita, Ox, Elliott, Jones & Milner are good enough to take on the struggling Leeds at home, they are paid millions either way, they should be good enough to take on Leeds.

Think Origi will start? No Jota or Firimino (Klopp anasema wanajaribu everything ili wawepo kwenye final), so Salah/Mane/Diaz cant play for full 90 mins, ili kuepuka changamoto ndogo ndogo incase Jota or Firmino watashindwa kumake-it.

I believe kutakuwa na pressure, kutokana na kuwa tukishinda gap ya points itakuwa ni 3 dhidi ya Man City, but we are more than enough kuifunga Leeds bila ku-sweti they are struggling a lot right how, na tuna advantage ya home.
Screenshot_20220220_092353_com.android.chrome_edit_102851515204096.jpg

Screenshot_20220220_092411_com.android.chrome_edit_102832207185349.jpg

Leeds pamoja na msimamo wao kwenye ligi unasoma pointi 23 wakiwa nafasi ya 15 lakini majeruhi msimu huu yamewamaliza na angalau sasa wameanza kurejea japo nako Jumapili wamepata injury mpya kwa Robin Koch.

Umesema Klopp acheze kamali na ile Mf ya Keita, Ox, Henderson kwa 4 3 3. Hapo Mkuu hawa jamaa watatumaliza mapema sana. Ukumbuke falsafa ya Marcelo Beisla ni kushambulia tu mambo ya back pass ni pale hakuna namna ndio maana hata hizo attachment zinaonyesha wana Epl highest attacks ila wanakosa wachezaji sahihi kufanya hayo mashambulizi yazae magoli. Kukosekana kwa Bamford na Kalvin kunawanyima sana wachezaji wawili tegemezi kwao.

Kwa gemu ya leo MF ingekua bora starters MF Fabinho Jones Ox. Kwa sasa ili kuweka balance pale kati lazima Fabinho au Thiago mmoja wao aanze otherwise nina uhakika Ox Henderson Keita hawawezi kuzima threat ya Leeds na by the time Klopp aseme weka sub tutakua tumeumia.

Tuchululie mechi moja baada ya nyingine tusichukulie jumla jumla hata Pep kile kipigo cha Spurs kilmstua kama ambavyo na sisi tulishangaa hivi ulimuona wakati Kane anafunga la 3 jamaa alipagawa.

Kwa Klopp kama Klopp leo Thiago Fabinho Trent Robertson wote ndaniiii.

YNWA
 
View attachment 2126897
View attachment 2126898
Leeds pamoja na msimamo wao kwenye ligi unasoma pointi 23 wakiwa nafasi ya 15 lakini majeruhi msimu huu yamewamaliza na angalau sasa wameanza kurejea japo nako Jumapili wamepata injury mpya kwa Robin Koch.

Umesema Klopp acheze kamali na ile Mf ya Keita, Ox, Henderson kwa 4 3 3. Hapo Mkuu hawa jamaa watatumaliza mapema sana. Ukumbuke falsafa ya Marcelo Beisla ni kushambulia tu mambo ya back pass ni pale hakuna namna ndio maana hata hizo attachment zinaonyesha wana Epl highest attacks ila wanakosa wachezaji sahihi kufanya hayo mashambulizi yazae magoli. Kukosekana kwa Bamford na Kalvin kunawanyima sana wachezaji wawili tegemezi kwao.

Kwa gemu ya leo MF ingekua bora starters MF Fabinho Jones Ox. Kwa sasa ili kuweka balance pale kati lazima Fabinho au Thiago mmoja wao aanze otherwise nina uhakika Ox Henderson Keita hawawezi kuzima threat ya Leeds na by the time Klopp aseme weka sub tutakua tumeumia.

Tuchululie mechi moja baada ya nyingine tusichukulie jumla jumla hata Pep kile kipigo cha Spurs kilmstua kama ambavyo na sisi tulishangaa hivi ulimuona wakati Kane anafunga la 3 jamaa alipagawa.

Kwa Klopp kama Klopp leo Thiago Fabinho Trent Robertson wote ndaniiii.

YNWA
Sasa Leo mnacheza ,Hadi kesho
 
Kuna post yangu ya juzi hapa, nilisema kuwa body shape ya Henderson kwasasa haimfai kucheza as RCM, na nikajaribu kuelezea kwanini, na nikasema kuwa kwasasa anatakiwa awe ana-sit katikati (6 role) kwaajili ya ku-recycle possession. juzi Klopp kam-deploy as 6 against Inter & then Norwich and alikuwa decent.

Watu watakimbilia kutoa attacks, but Henderson best position now ni kuwa back-up ya Fabinho at 6, kwasababu his physical aspects haziendani na tasks za RCM wa Klopp, these are facts, ndiyo maana Klopp started a Kid away at Inter Milan kwenye game ngumu ya CL, its not even hard to see.

Nasema kila siku kuwa, i dont hate Henderson as najua his limitations as a footballer, ninachukia upendeleo anaopata kutoka kwa wazungu wenzake, achilia mbali game ya Inter ambayo we were told he changed the game on his own, game ya Norwich, their MFs were cutting us open at will and we were lucky hawakutumia chances zao vizuri, we were struggling to control the MF, we were struggling to control the game, Norwich managed to contain us for 60 minutes, sidhani kama kuna mtu alikuwa shocked walivyo-score first, and where was Henderson for their goal?, Game ilichange alivyoingia Thiago, na ku-switch kwenye 442, double pivot ikamruhusu Henderson ku-settle as hakuwa na defensive duties kubwa, kama kwenye 433 ambapo alipwaya as a lone 6, but praises zote ziende kwa Henderson, wakati aliye-change dynamic ya game yote ni Thiago.

You're a LFC fan, wote tumemuangalia Henderson tangu mwanzo wa msimu, amekuwa average as a RCM, game ya Burnley ndiyo ilifanya mpaka legends wajitokeze kutoa views zao, na ile game Henderson alitoka dk ya 60, that was unusual from Klopp, sasa now ana 2 good games (Inter & Norwich) na watu wanataka kujisahaulisha kuhusu games zake zote msimu huu, and its funny because CAPTAIN anasifiwa kwa 2 good games ndani msimu mzima, and we're in february.

Kuna wachezaji wapo on good form tangu league inaanza, Fabinho, Alisson, VVD, Trent, Salah, Jota, Thiago, Konate but huwezi kuona wakipewa mileage kubwa kama anayopewa Henderson kwa kucheza vizuri against team ambayo ina asilimia 90 za kushuka daraja tena baada ya Thiago kuingia uwanjani, Fabinho katupa ushindi games kadhaa mwaka huu but huoni akipewa mileage, Salah kila siku anafunga important goals na debate iliyopo auzwe au asiuzwe, hii ni racism, na hauwezi kuijua wala kuiona kama upo Tanzania.

imechukua games ngapi watu kuanza kuona Thiago ni top 5 important player kwenye kikosi cha Klopp?

Henderson ni limited football player na kwenye level aliyofikia at LFC ni testmony ya ubora wa coaching wa JURGEN KLOPP, muangalie Wijnaldum at PSG, you wouldnt think kama alikuwa ni 2nd most important MF kwenye set up ya Klopp, look at him now.

Kwenye MF ya LFC now automatic starters ni Fabinho na Thiago (when fit) hawa ndiyo first names kwenye team sheet upande wa MF, then Henderson, Keita, Elliott, Jones, Ox, Milner are being rotated, na kwa bahati mbaya au nzuri Henderson yupo juu zaidi ya Keita & Elliott kwenye pecking order for now, kwasbabu ya armband na seniority (i'm not against this at all) so i expect him to start against Chelsea kwenye final.
Hii debate ya Henderson ki ufupi itaisha siku tu akiondoka zake Anfield ama awe kama Milner na sio tena serial starter kama alivyo sasa akiwa mzima. Akiwa Captain ndio kabisa tunae.
Henderson akicheza MF upande wa TAA anakua janga sana na hilo Klopp hakwepi pindi anapocheza 4 3 3. Lakini mechi ya juzi alicheza double pivot kwa msaada wa maestro Thiago angalau alianza kuchakata pasi zenye maana na kuleta madhara. Shinda kubwa hapa kwa Klopp ili huyu dogo Henderson acheze sitter ina maana Fabinho/Thiago mmoja awe benchi na pia Klopp pindi anapocheza na attacking Dynamic Fullbacks hua anatumia 4 3 3 na sio orthodox 4 4 2.

Kocha kama mwalimu ni levo zingine kwa kimfumo unaoedana na kikosi na opponent tunaecheza nae wakati huo. Kwa hizi gemu mbili mwalimu na jopo lake wamefanya sub za kubadili matokeo kwanza tushukuru kua na benchi limesheheni game changers sasa.

Fully fit Thiago ni world class mtihani sasa ni ku manage gemu time ili awe fit muda anaohitajika aisee.

On paper tunagemu ngumu sana hivyo Thiago management iwe top class maana tupo almost Mashindano yote na kikosi kina wachezaji wa ku sustain ushindani.

Klopp kwa mara ya kwanza amekua na utajili wa kikosi, hata mechi ya Norwich Jones hakua kwa benchi. Jota na Bobby wapone kwa kweli.

Vs Leeds tuweke full mkoko. Vs Chelsea fainali hua haina mwenyewe vijana watapambana wawezavyo kunyanyua kwapa.

YNWA
 
Hao hao kina MosDef na kina King Ngwaba wasiompenda captain wanachukiwa pia maoni toka kwenye forum nyingi za huko juu ambazo nyingi pia watumiaji wake wanaona mapungufu ya Heddo.
Kwangu mimi Heddo ni reguleta. Jamaa ana uwezo wa kucontrol tempo ya game. Aipooze au aichangamshe. Kinachowaauzi wengi ni zile back n wide passes anazopigaga. Kumbe ile ni style ya kucontrol game.
Sio game zote anapaswa kuanza. Zile game zenye pressure anafaa kuanza maana anajua kuregulete game.
Mkuu hatuna chuki na Captain mbali output yake is way below expectations zetu na akiwa Captain wa timu anatakiwa atuongoze kwa mfano.

Amekua yupo kawaida sanaaaaaa uwanjani ila nje ya uwanja wanasema ni real gentleman especially mambo yanayohusu Liverpool na hata kwenye dressing room wanasema anahamashisha mno vijana nk ila tu uwanjani ndio binafsi hua sioni akileta ufanisi kiasi asipokuwepo tutaadhirika kama ambavyo hua tunaadhirika kwa Thiago, Fabinho.

Uzuri ni kwamba akifanya vyema kwenye na ambapo ni nadra sana hua natoa salute kwake kama ambavyo nafanya kwa wengine wanaofanya vyema.

Henderson akicheza na Thiago/Fabinho kati anachakata pasi amekua na influence kwenye gemu kiasi fulani.

Tunacheza 4 3 3 Attacking manake tunajua kwenda mbele tu hakuna kurudisha nyuma mpira unless necessary kama pale tunakosa killer pass mpira utapigwa side ways sana mpaka pale wataona channel ya pasi sana sana atakua TAA au Robertson.

He is Captain for a reason and only Klopp knows.

YNWA
 
Looking at our fixtures, we're yet to play Arsenal (A), Man United (H), Man City (A), Spurs (H), the traditional big 6s

Na kabla ya kucheza na City, tutakutana na Leeds (H), West Ham (H), Brighton (A), Arsenal (A), United (H) and Watford (H), we need to win hizi games zote au ku-hope City wa-drop points along the way, kwasababu wenyewe wamebakiza 2 big fixtures ( us & united na zote ni home kwao), so we need to be ruthless now if we want to win this title, tuna games ngumu kuliko City on paper, but tunayo squad ya ku-overcome hizi games, pia kama alivyosema Klopp jana we need to do everything to keep Thiago fit.

The title race is on.
Bhahaahaaa!..Mkuu vip mbon hujamweka everton kama kikwazo kwa city...nimechek kwasabab next game ya city ni dhidi ya everton na kuna forum moja ya uko UK...fans wa toffees wanasem iyo game watambless city point tatu pia ata united anawez wasimkazie sana city maan by any chance mtakayopata nyie na ikapelekea kushinda epl title maana yake mtakuw mumewafikia record yao ya 20-titles...it's very likely wasikaz san kwetu kuliko watakavyowakazia nyie. Bado race ni ngumu ila worries kwa city naona ni liver, westham, palace na wolves but lets wait and see...at the moment you should thanks spurz kwa kuwarudish kwenye title race!!!
 
Mechi 6 zijazo Ligi Kuu kwa Manchester City. Wana michezo mitatu ugenini na mitatu nyumbani.

Screenshot_20220222_115632_com.android.chrome_edit_111284344269476.jpg



Mechi 6 zijazo kwa Liverpool Ligi Kuu. Tuna mechi 4 nyumbani na ugenini mechi 2 ugenini. Hii ya Arsenal itakua ni kiporo kinatokana na Carabao fainali Wembley.
Screenshot_20220222_115641_com.android.chrome_edit_111267021910104.jpg



YNWA
 
Kwa hiyo Leeds united mshamfunga na mshachukua point 3 tayari .....mbona mnamatarajio makubwa Sana hivi

11 players Vs 11 players

Mkuu wewe umeanza kushabikia mpira lini? Yaani tufungwe na Leeds na wakati wachezaji wako fiti?

Hao Leeds wanaofungwa na Man U goli Za kutosha sisi tuko kamili ndio watufunge Kweli,uko sawa mkuu au bado una wenge la Spurs? Kuna timu kabla ya mechi unakuwa Na wasiwasi sio Leeds.hao tunaondoka na point 3 asubuhi na mapema yaani uhakika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom