Nilijua ni
Rajab Omar_,@ MosDef ndio hatumkumbali Henderson kumbe hata wachezaji wa zamani wa Liverpool walitamani asiongezwa mkataba.
Hahahaha makala... hizi on and off za Henderson mbona zimo zimo wewe subiri tu uzuri mie mchezaji akifanya powa hua natoa salute inapostahili na akipoteana kuanza kutoa zile useless passes kama ile gemu ya Chelsea ugenini nitasema tu japo simwombei hivyo maana tunahitaji kila mmoja wao pale Liverpool afanye vyema ili angalau EPL iwe red ribbons come end of the season..
Aafu usimtaje Fabinho anapotajwa Henderson bhana... Ni kama kutaja kurikuu na kilimo kwanza...
Nishasema usalama wetu kushinda makombe tunayotarajia ni uzima wa Fabinho, Allison, VVD, Thiago.. Sikumuweka Henderson hapo maana najua output yake is irrelevant compared with the others mentioned.
YNWA
Kuna post yangu ya juzi hapa, nilisema kuwa body shape ya Henderson kwasasa haimfai kucheza as RCM, na nikajaribu kuelezea kwanini, na nikasema kuwa kwasasa anatakiwa awe ana-sit katikati (6 role) kwaajili ya ku-recycle possession. juzi Klopp kam-deploy as 6 against Inter & then Norwich and alikuwa decent.
Watu watakimbilia kutoa attacks, but Henderson best position now ni kuwa back-up ya Fabinho at 6, kwasababu his physical aspects haziendani na tasks za RCM wa Klopp, these are facts, ndiyo maana Klopp started a Kid away at Inter Milan kwenye game ngumu ya CL, its not even hard to see.
Nasema kila siku kuwa, i dont hate Henderson as najua his limitations as a footballer, ninachukia upendeleo anaopata kutoka kwa wazungu wenzake, achilia mbali game ya Inter ambayo we were told he changed the game on his own, game ya Norwich, their MFs were cutting us open at will and we were lucky hawakutumia chances zao vizuri, we were struggling to control the MF, we were struggling to control the game, Norwich managed to contain us for 60 minutes, sidhani kama kuna mtu alikuwa shocked walivyo-score first, and where was Henderson for their goal?, Game ilichange alivyoingia Thiago, na ku-switch kwenye 442, double pivot ikamruhusu Henderson ku-settle as hakuwa na defensive duties kubwa, kama kwenye 433 ambapo alipwaya as a lone 6, but praises zote ziende kwa Henderson, wakati aliye-change dynamic ya game yote ni Thiago.
You're a LFC fan, wote tumemuangalia Henderson tangu mwanzo wa msimu, amekuwa average as a RCM, game ya Burnley ndiyo ilifanya mpaka legends wajitokeze kutoa views zao, na ile game Henderson alitoka dk ya 60, that was unusual from Klopp, sasa now ana 2 good games (Inter & Norwich) na watu wanataka kujisahaulisha kuhusu games zake zote msimu huu, and its funny because CAPTAIN anasifiwa kwa 2 good games ndani msimu mzima, and we're in february.
Kuna wachezaji wapo on good form tangu league inaanza, Fabinho, Alisson, VVD, Trent, Salah, Jota, Thiago, Konate but huwezi kuona wakipewa mileage kubwa kama anayopewa Henderson kwa kucheza vizuri against team ambayo ina asilimia 90 za kushuka daraja tena baada ya Thiago kuingia uwanjani, Fabinho katupa ushindi games kadhaa mwaka huu but huoni akipewa mileage, Salah kila siku anafunga important goals na debate iliyopo auzwe au asiuzwe, hii ni racism, na hauwezi kuijua wala kuiona kama upo Tanzania.
imechukua games ngapi watu kuanza kuona Thiago ni top 5 important player kwenye kikosi cha Klopp?
Henderson ni limited football player na kwenye level aliyofikia at LFC ni testmony ya ubora wa coaching wa JURGEN KLOPP, muangalie Wijnaldum at PSG, you wouldnt think kama alikuwa ni 2nd most important MF kwenye set up ya Klopp, look at him now.
Kwenye MF ya LFC now automatic starters ni Fabinho na Thiago (when fit) hawa ndiyo first names kwenye team sheet upande wa MF, then Henderson, Keita, Elliott, Jones, Ox, Milner are being rotated, na kwa bahati mbaya au nzuri Henderson yupo juu zaidi ya Keita & Elliott kwenye pecking order for now, kwasbabu ya armband na seniority (i'm not against this at all) so i expect him to start against Chelsea kwenye final.