Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bhahaahaaa!..Mkuu vip mbon hujamweka everton kama kikwazo kwa city...nimechek kwasabab next game ya city ni dhidi ya everton na kuna forum moja ya uko UK...fans wa toffees wanasem iyo game watambless city point tatu pia ata united anawez wasimkazie sana city maan by any chance mtakayopata nyie na ikapelekea kushinda epl title maana yake mtakuw mumewafikia record yao ya 20-titles...it's very likely wasikaz san kwetu kuliko watakavyowakazia nyie. Bado race ni ngumu ila worries kwa city naona ni liver, westham, palace na wolves but lets wait and see...at the moment you should thanks spurz kwa kuwarudish kwenye title race!!!
Everton asipokaza Kuna hatari ya kushuka daraja pia....
United anaihitaji top four...sidhan Kama atalegeza..
ILA VYOVYOTE ITAKAVYOKUWA MAJOGOO TUNALITAKA KOMBE
 
Adjustments.jpg
 
Alishasema akikaa akimkumbuka Klopp anarudi kusoma maana akijiachia tu klopp atamtia aibu.
Bwana wee huwezi ku assemble kikosi kama cha Kipara kilivyo aafu uwe wa pili ni aibu kwake na vijana wake ndio maana wana presha aafu sie wala tunasema tushinde mechi zetu hayo mengine tutayakuta mbele.

Nimeona Klopp alisema hivyo vile vile VVD, Robertson, Trent naona ni msimamo kwa sasa ili kuto panic.

YNWA
 
Kwa hiyo Leeds united mshamfunga na mshachukua point 3 tayari .....mbona mnamatarajio makubwa Sana hivi

11 players Vs 11 players
Leeds wanacheza direct football yaani utakuta wanashambulia almost timu nzima na kule nyuma wanaacha mabeki mmoja ama wawili tu sasa ndugu yangu kwa uchezaji huo unadhani sisi tutawaacha na ukumbuke Leeds ni waumini wa Man to Man marking ili kuzuia mashambulizi sasa hapo ndio watafeli labda waje na mfumo mwingine lakini Kocha wao alisema bora ashuke daraja kuliko kubadili kile anachokiamini.

YNWA
 
Mkuu wewe umeanza kushabikia mpira lini? Yaani tufungwe na Leeds na wakati wachezaji wako fiti?

Hao Leeds wanaofungwa na Man U goli Za kutosha sisi tuko kamili ndio watufunge Kweli,uko sawa mkuu au bado una wenge la Spurs? Kuna timu kabla ya mechi unakuwa Na wasiwasi sio Leeds.hao tunaondoka na point 3 asubuhi na mapema yaani uhakika.
Huyu Pain killer katumwo na kipara atuletee mind games hapa hahaha uzuri anajua fika sasa EPL ipo open kwamba wao na sie kuna mmoja atanyanyua kwapa na bado wapo favourites hata bookies wanawapa nafasi kubwa kutetea taji lao EPL lakini na sisi tumoo kwenye mix yaaani hatupoi wala nini tushinde gemu zetu period.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom