Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahaha hahahah message delivered.
YNWA
hida la hii thread viingereza mixer kiswahili ni vingi sana, hivi ukiichambua football kwa kiswahili utapungukiwa na nini? Senene ukichanganya na dagaa unaweza harisha aisee
Nikupe namba zake?Matip weee
Huyu jamaa ananivutia sana
MosDef ukikutana na Matip huko kitaa Anfield mwambie ana secret admiral wa nguvu sana aka Miss Liverpool alias Saint Anne.Matip weee
Huyu jamaa ananivutia sana
Mpaka Leo hii wamebaki wanne tuu kwenye list ya msimu huu WA Carabao
MosDef yupo huko ehh??MosDef ukikutana na Matip huko kitaa Anfield mwambie ana secret admiral wa nguvu sana aka Miss Liverpool alias Saint Anne.
YNWA
Asante mkuuNikupe namba zake?