OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Unawafunga wachovu inter Milan ..unajiona una timu ..wanaume tumerudi kutoka kwenye majukumu ya kubeba cwc, tumekuja kuchukua nafasi yetu.View attachment 2121669
Ukiona kabisa wachambuzi wenye uhusiano na Manchester United wanatusifia hivi ujue kabisa tupo
vizuri.
Sasa OllaChuga Oc nani wewe kama hujakumbali Liverpool tunaogopeka hata Pain killer hataki apangiwe Liverpool
YNWA
Sisi kwenye uefa hatuna Shaka, Kila mtu ashinde mechi zake.
KAMA UNWEZA TUKUTANE FAINAL
#CFC💙💙💙