Bwana wee 🧐🧐🧐🧐...Nahis leo defence itakuwa exposed sana kwa ukosekanaji wa Fab
Kwanini asifanye sub faster?Klopp hapa hana muda wa kusubiri Ox na Keita hii mechi imewakataa wanashindwa ku dictate tempo hii gemu chap Ox nje aje Thiago, chap nje Keita aje Fabinho.
YNWA
Hapa ndo klop alipofeliTsimikas na Diaz bado sana kucheza pamoja...
Klopp leo kacheza bonge la kamali wote tunajua watengezaji wa magoli Liverpool ni TAA na Robertson, binafsi naona isngekua powa wote wasianze leo basi angeanza mmoja na hapo ni Robertson huku TAA akipumzika.
YNWA
Haya ndio mambo yamemnyiga kombe la Uefa Pep kipara akina Bayern Munich na akiwa na Manchester City.. Unategemea kikosi hiki yeye anakuja na hiki..Kwanini asifanye sub faster?
Tuna mechi kali sana siku zijazo ama wiki zijazo lakini kwa upangaji huu bila wachezaji wako hatari RB na LB hawapo na bado akacheza 4 3 3 ndipo shinda imeanza..Hapa ndo klop alipofeli
At least now we can breath maana hali ilikua tete [emoji16][emoji16]Tuna mechi kali sana siku zijazo ama wiki zijazo lakini kwa upangaji huu bila wachezaji wako hatari RB na LB hawapo na bado akacheza 4 3 3 ndipo shinda imeanza..
Ox na Keita nje tegemea ushindi sasa.
YNWA
SalahhhhDakika 25 sasa tupate ushindi Hahaha
YNWA