Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goli la Norwich limemchangamsha klopp mapema afanye sub pale kati maana palikuwa hapajatulia aisee
Kocha bora ni yule hujua mapungufu yalipo ama wachezaji waliochemka na kufanya sub chap mapema sana kuweka mipango sawa.

Wakati mwingine ili Kocha afanya mabadiliko hua kutanguliwa kufungwo ni sawa tu kama leo, inasaidia sana tena kufungwo mapema kama vile ili mwalimu chap afanye sub mapema vile vile.

YNWA
 
Baada ya kuingia Thiago kila kitu kimekamilika! Yani OX dakika zote alizocheza alikuwa Mzururaji tu humu uwanjani.
Kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kapoteza mipira mingi sana all in all Salah na Diaz wamefunga mimi ninaamani.
 
Ila duuuh hii high line japo ndio hutumiwa na Klopp na Pep miaka hii kadhaa lakini inahitaji nidhamu, kuelewana na timing moja muhimu sana.

In Klopp i trust.

In the boys i trust.

Sasa kwako Conte tupe wekedi murwa mzee baba.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom