Nimeona replay hapa duuh.Allison bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuchel hana mbinu tofauti na zile alizo mbahatisha Pep( pep alijifanya much know).Hawa chelsea upepo umekata next week tushindwe wenyewe tu kubeba kombe.
Lazima tuwakalisheHawa chelsea upepo umekata next week tushindwe wenyewe tu kubeba kombe.
Anajitahidi kutuprove wrong always captain is a captain [emoji16]Huyu Le Captain Henderson jamani hivi mnakumbuka alitoa pasi kama hii hii mechi dhidi Manchester United akafunga Salah haha leo kaitoa kwa Diaz duuh sina la kusema mie...
YNWA
Hizi assist zake mbili hii ya leo na ile ya Manchester United ni world class.Anajitahidi kutuprove wrong always captain is a captain [emoji16]