Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii inatisha hii ..sema Kwa mzee Klopp na kikosi kikiendelea kuwa na afya sioni ugumu sana.
Screenshot_20220217-183328~2.jpg
 
Hii inatisha hii ..sema Kwa mzee Klopp na kikosi kikiendelea kuwa na afya sioni ugumu sana.View attachment 2122147

Mkuu hapo mechi ngumu mbona sijaiona.

Hao westham kwakua walitufunga round ya kwanza ila hakuna timu iliyotufunga hapo round ya kwanza.

Hiyo fixture nyepesi sana sana.ukizingatia jana tulikuwa hatuna majeruhi hata mmoja yaani wachezaji wetu wote wako fiti.
 
Screenshot_20220217_181807_com.android.chrome_edit_212729011715454.jpg


Feel the passion, see the passion, enjoy the passion, dream the passion...

Yaani furahieni shauku namna huu ushindi ulivyo mtamu..

Inzaghi msimu huu amekuja kivingine kuwapa uhuru wachezaji kushambulia muda wote tofauti na Conte ndio maana Persic wing back alikua mwimba kwa beki wetu.

Hii gemu Klopp kasema ushindi huu ni kama tupo hafu taimu akimaanisha gemu inaisha Anfield hivyo vijana wawe na utulivu tumalize haya maneno.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom