Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220217_181913_com.android.chrome_edit_212785205811800.jpg

Mnasema aje, jamaa Bobby apewe mkataba ili awe supa mbadala pindi anavyohitajika ama tuchukue mahela ya Catalan

YNWA
 
It was a very good win

Tough game… wataliano walitukamata in our own game

Klopp should balance our mido better… Harvey anacheza kama a third mido lakini his natural attacking play inakua inamsukuma alipo Salah… matokeo yake we remain with just to CMs

Na hii inaweza either kumjenga zaidi kwenye role akiwa nyuma kidogo hivyo kuwa na bigger role… lakini pia inaweza kummaliza hasa pale tunapozidiwa

Ningetamani sana jana if Harvey angepiga hata 10 minutes in the front 3
Mkuu hii inaitwa "throw the spanner in the work" nina uhakika wakati Inter Milan wanafanya drill namna ku approach ile gemu hawakua hata wakimwazia Elliott kua starting 11 jana, Klopp kawavuruga sana na ile starting line up... Ingefanya kazi vyema Klopp angekua amefanya one hell of plan but too bad hata Klopp mwenyewe amekiri dogo hakucheza vyema alivyotarajiwa.

Screenshot_20220217_224131.jpg

👆 👆 👆 👆 Tazama kocha Inzaghi akitoa maelekezo wakati timu zinaelekea uwanjani kwamba dogo Elliott atazamwe vyema pengine alipangwa na Klopp kumvuruga Marcelo.

YNWA
 
Salah wa kipindi hiki hana kiwango chochote bali ana bahati tu ya kufunga ngoja apewe mkataba mpya ndio mtaamini.
Salah yupi unaemsema ndugu.

Lini Salah tangu ametua Liverpool amekosa magoli 20+ kwa msimu aisee.

Amecheza mechi 232
magoli amefunga 149
Ametoa assist 52.

Salah anachotaka ni klabu ionyeshe nia ya kumbakisha Anfield kwa miaka mingi. Kazi kwao sasa sie mashabiki tunasema apewe anachotaka. Liverpool ishakua kama timu hatuwezi kuedelea kuwabakisha hawa ma staa kwa kuwalipa ela kiduchu. Yaaani wapo akina Maritial, Sancho nk hawafiki hata nusu output ya Salah lakini kaangalie mishahara ndio utajua haya mambo yanihitaji uvumilivu.

YNWA
 
SHOT INFORMATION ABOUT LIVERPOOL THIS SEASON AND BEFORE

LIVERPOOL IS IN CARABAO FINAL ALREADY♨️♨️♨️

LIVERPOOL IS IN LAST 16 OF UEFA CHAMPIONS LEAGUE⚽⚽

LIVERPOOL IS STILL COMPETING IN FA CUP⚽⚽

LIVERPOOL IS ON POSITION 2 IN EPL WITH A GAME IN HAND⚽⚽

LIVERPOOL HAVE MO SALAH AS TOP GOAL SCORER AND DIOGO JOTA ON SECOND⚽⚽

LIVERPOOL HAS ANDY ROBERTSON AND TRENT ALEXANDER ANOLD AS TOP ASSIST PLAYERS⚽⚽

LIVERPOOL HAS THE HIGHEST NUMBER OF GOALS SCORED IN EPL THIS SEASON⚽⚽

LIVERPOOL HAVE LOST 2 GAMES THIS WHOLE SEASON IN ALL COMPETITION AND INCLUDING EPL♨️♨️♨️

LIVERPOOL HAS WON 19 LEAGUE TITLES IN THEIR HISTORY AND SECOND TO MAN U WITH 20⚽⚽

LIVERPOOL HAVE WON 6 UEFA CHAMPIONS LEAGUE TROPHIES IN THEIR HISTORY WHICH IS THE HIGHEST FOR ANY ENGLISH FOOTBALL CLUB⚽⚽

LIVERPOOL HAS THE HIGHEST NUMBER OF SUPPORTERS IN ENGLAND⚽⚽

LIVERPOOL HAVE WON ALL MAJOR TROPHIES AT CLUB LEVEL IN THEIR HISTORY♨️♨️♨️

THE LAST 5 YEARS LIVERPOOL HAVE WON UEFA CHAMPIONS LEAGUE TROPHY, ENGLISH PREMIER LEAGUE TITLES, UEFA SUPER CUP AND CLUB WORLD CUP👑👑👑

LIVERPOOL IS ONE OF FEW TEAMS WITH A BALLON DOR WINNER IN THEIR HISTORY NAMELY MICHAEL OWEN👑

THEY HAVE FINISHED IN TOP 4 IN THE LAST 5 YEARS

LIVERPOOL HAS NEVER LOST TO THE TOP 4 TEAMS IN ENGLAND THIS SEASON👑👑

THEIR ONLY DEFEAT WAS AGAINST WESTHAM 3:2 AND LEISTER 1:0 BOTH GAMES AWAY FROM HOME👑👑

LIVERPOOL HAS SCORED IN ALL GAMES THIS SEASON EXCEPT ONE AGAINST LEISTER⚽⚽

LIVERPOOL HAS THE MOST BEAUTIFUL FOOTBALL GAME ATMOSPHERE AT ANFIELD THE ONLY PLACE ANY TEAMS FEARS TO PLAY♨️♨️♨️

LIVERPOOL HAS MORE NATIONAL CAPTAIN IN THEIR TEAM NAMELY👑👑
MO SALAH FOR EGYPT
ANDY ROBERTSON FOR SCOTLAND
VIRGIL VAN DIJK FOR NETHERLANDS
JORDAN HENDERSON VICE CAPTAIN 4 ENGLAND
NABY KEITA FOR GUINEA
MANE VICE CAPTAIN 4 SENEGAL⚽⚽⚽👑👑👑

LIVERPOOL FC IS SIMPLY A SPECIAL CLUB WITH A BEAUTIFUL STORY AND INCREDIBLE HISTORICAL REFERENCE!!!
 
Kudadeki hii Liverpool utaipenda tu hakuna namna...

YNWA
 
Wachezaji wa Inter Milan walionekana kuchukizwa na kauli ya kocha wao baada ya kuwaambia waende wakajitoe sana uwanjani .Matokeo yake wakatembelea mafuta yote mpaka ikabaki choki bila kutumia akili .Wakati wenzao Mabingwa mara 6 wa UCL walikuwa wakitemblea gia namba 3 tu daaah Kina VIDAL si wakachoka bhana wakaanza kucheza rafu tu baada ya kuona wamefanya kila kitu na bado Liverpool wako fit ndipo KLopp alipoweka gia namba 4. Boby Inter wakapagawa wakaanza kubutua ovyo ovyo Na kabla hawajajua watafanya nini ndipo KLopp akaweka gia namba 5 .KEITA ,HENDO na DIAZ aisee yule beki wa kulia wa INTER alipoona MANE anaenda nje akapumua kwa kujua atapata nafuu kumbe hakujua anayeingia ni kisanga na robo na kilichofuata nilimwona yule beki akiwa amekaa nje na koti kubwa akitetemeka. Mimi bado najiuliza ili uidhbiti Liverpool sijui uwapress vipi? maana kila ukiwapelekea press kuanzia juu wao wanapooza kama hakijatokea kitu .Ninavoona Mimi timu ya kuweza kuwapress Liverpool ni ile ya SHAOLIN SOCER maan wale wana uwezo wa kupaa na mpira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom