Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,448
- 32,877
Huyu msaidizi wa Klopp Kai ana balaa kubwa kwamba haya maelekezo kayatoa yeye jamani.
YNWA
Beast mood
Yaan Fab3 huyu jamaa ni kisiki na nilianza kulijua vizur kabisa zile game vs bayern
Hili jambo mimi lina nikera sana kama hawezi kumpanga mbele japo dakika 15 sababu Salah bora amtoe kwa mkopo tena kati hapendezi kabsaa anaongeza mzigo kwa viungo halisi.It was a very good win
Tough game… wataliano walitukamata in our own game
Klopp should balance our mido better… Harvey anacheza kama a third mido lakini his natural attacking play inakua inamsukuma alipo Salah… matokeo yake we remain with just to CMs
Na hii inaweza either kumjenga zaidi kwenye role akiwa nyuma kidogo hivyo kuwa na bigger role… lakini pia inaweza kummaliza hasa pale tunapozidiwa
Ningetamani sana jana if Harvey angepiga hata 10 minutes in the front 3