Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,452
- 32,880
Nakumbuka MosDef alielezea hili sakata la Gini kwa kina mpaka ikaonekana kwamba dogo amekua kind of greedy haha lakini who can blame he was 29yrs and the next contract had to be a bit fat maana its might be the last one he hold the upper hand... I suspect Koeman advised the boy he was to be sacked Barcelona hivyo atazame another green pasture kukipiga...Perfect!!!
Tunajisahau upesi… to me, gini was not treated well
One dark side of his saga was the dip
In form for the club hasa saga lake lilipoanza - was he influential? 🤷🏽♂️
Anyways… klopp is our biggest signing Kwa LFC in years
Kucheza MF ya Klopp to my own understanding a player must possess the following traits...
1)TACTICAL AWARENESS
2) POSITION AWARENESS
3) TACTICAL ABILITY
4) UNDERSTANDING THE GAME
5) TECHNICAL ABILITY.
Gini was scoring above 7 or more👆 👆 when on song.
Sasa on Gini...
Gini mchezaji wa kawaida so they say man you don't pay £27.5m for a pedestrian player who was actually relegated on that season.
Even before he signed the data guys had updated Klopp why that signing was significant for his game plan.
Gini alikaangwa na FSG kwamba anataka alipwe £300k kwa wiki. Sasa social media wakamshukia mazima na like you side the whole team was performing horrible without VVD we were really bad and the one player that got the beating kwa Social Media was Gini even saying kwamba he is leaving that why he care less where we finish sasa unajiuliza hio mechi alicheza peke yake. My guess FSG used the media to finish Gini. Wenzetu ni watu wa ku spin sana mambo kama hawakutaki kuna kampuni kazi yao ni ku spread all kind of rumours mpaka uongo unaonekana ni kweli na kwa hili Gini was crucified big time.
Why do Gini and akina Henderson seem effective under Klopp the answer ni hii hapa chini 👇
As well documented Klopp game plans and his support from the data guys.
*Ian Graham Liverpool Director Research
*Will Spearman Lead Data Scientist
*James French Opposition Analysts
*Greg Mathieson Opposition Analyst
*Tim Waskett Statistical Research
Hawa jamaa ndio washauri wa Klopp nini anawategemea sana kuwasabararisha wapinzani na pia kwenye usajili kuhusu namna mchezaji mpya atatumika aje akisajiliwa Liverpool...
Wanamshauri Klopp mpaka position ya wachezaji uwanjani wapi anatakiwa kwa muda gani with or without the ball depending na mfumo wa opposition. That why we always ask mbona MF yetu ni butu haina magoli wala nini well dont expect that to change soon. Klopp trust this guys because they delivered tazama usajili wa Salah na magoli anayofunga by th way wakati anatua nisingesema boy will this good man. Or even Allison or Robertson man. Ni kazi hua inafayika closee doors aisee very interesting how they do this and Klopp transpire that to the boys. I salute them.
Rumours say Edwards used Data to convince FSG kumsajili Klopp pamoja kwamba msimu wake wa mwisho Dortmond ulikua really bad lakini on the data side ilionyesha kwamba they lacked the right players msimu ule.
Edwards mwenyewe ni data pro hivyo FSG agreed and wakamsikiliza and they why Klopp speaks very highly of this data team pale Liverpool.
This guys are just in their own league man. Rumours has its even Liverpool under firing MFS is down to thier way of data haha tutulie jamaaa.
YNWA