Gini alikuwa fiti Sana jamaaKwa Gini binafsi nilisema bora alisepa maana mchango wake ulikua haudhaminiki kabisa na FSG .. Haileti picha alizidiwa mshahara na almost MF wote akina Thiago, Henderson, Ox, Keita, Milner nk pale Liverpool huku muda mwingi wakiwa mezani kwa daktari huku yeye akiwa uwanjani kupambana kwa sababu ya timu na akilipwa pea nuts.. Kinachomkuta PSG ni kigeni kwake japo alisema yeye ni fighter atapambana kuisaka namba na kila akipata nafasi kucheza basi ataitendea haki..
Coutinho duuh Barcelona walitaka awe like for like kwa fundi Andres Inesta kumbe ni wachezaji wawili tofauti kabisa lakini pia mfumo ulimkataa pale Barcelona. Ngoja tumuone chini ya Steve G anaetumia 4 3 3 kama ya Klopp kama atarudisha makali...
Kwa Gini aisee any day of the week huyu mwamba alitakiwa abakie pale pale Anfield hao wengine senior MFs wangesepa tu excluding Fabinho...
Mpira bhana sometimes una matukio ya kuchanganya sana tazama Gini alinyimwa mkataba wa miaka 3 na angalau mshahara ufike £120k mpaka £150k lakini klabu hii hii wamekua wakiwapa nyongeza ya mishahara na mikataba Milner na Henderson 😀😀😀duniani zali la mentali ndio hizi...
Tetesi walimpa Gini mkataba wa miaka 2 na mshahara wa £100k kwa wiki akagoma ku saini. I support the boy kwa umri wake pengine ule ndio ulikua mkataba wake wa mwisho wenye maslahi kwake, Lakini pia alikua determined kufanya kazi na Koeman sijui ni mshahara mnono au taarifa ipi ilimvuta PSG na sio Barcelona...
In the meantime....
Ki ufupi tuna bahati sana ya kua na Klopp na pia ku collapse kwa masoko yetu kuu Real Madrid na Barcelona otherwise mpaka sasa sina uhakika kama Mane na Salah bado wangekua hapa hapa Anfield..
Nafarijika kuona Liverpool ya sasa sio tena stepping-stone ya wachezaji kutua hapa kusaka masoko kwingineko mbali sasa wanajua vyema mafanikio yanapatikana hapa hapa Liverpool...
Liverpool imekua na mvuto kwa wachezaji wengi kujiunga nasi na hii kutokana na Klopp pia ametupaisha parefu sana. Wachezaji wengi waliosajiliwa hua wanasema Klopp factor ilimsaidia kufanya maamuzi kujiunga nasi.. Hata hawa waliongeza mikataba mwaka jana Juni 2021 VVD, TAA, Allison, Fabinho, Robertson wanasema Klopp factor na uhakika wa kupambana UCL, EPL nk
Wamepita wengi Liverpool kwenda kusaka mafanikio kwingine wapi akina Coutinho, Surez, Torres, Fabio Aurellio, Sterling, Raul Mereleis nk
Kwa sasa fununu ni kwamba Firmino, Mane au wote kuna safari kuuzwa Juni 2022 hii kutokana na Klopp kupanga kufanya mapinduzi kikosini kwa ajili ya kupanga continuation ya mapambano..
Asante Klopp kwa kurudisha heshima yetu.
YNWA
Pia na Gini alikuwa skillful Sana amemfundisha Mane vitu vingi.Diogo Jota says Firmino is the most skilful player at Liverpool followed by Naby.
I love this👏👏Embu tujadili hili.
Klopp ni mfumo.
Tunaposema mfumo maana yake ni muunganiko wa vitu kadhaa kwa ajili ya kupata matokeo fulani chanya ili kufikia malengo.
kama ni 4-3-3 makocha weeeeeeeeengi wanacheza nini nyuma ya Klopp kuitwa system?
Kwanza Klopp ni Gegen pressing method coach. "heavy metal football". Maana yake ni counter pressing. Huu ni mfumo ambao unahitaji high pressing unashambulia kwa kasi na kukabia juu na punde tu timu inapopoteza mpira. Ijulikane huu ni mfumo wa magoli zaidi na mfumo huu unahitaji high aomunt of focus, awareness and fitness.
Gegenpressing ni mfumo unahitaji kua na wachezaji wenye kasi sana maana kwenye ushambuliaji na ukabaji kote ni kasi sio possession method. Alipokuja Mjerumani huyu misimu mitatu ya mwanzo aliwaka na huu mfumo kiasi cha Ferguson kusema anataman kuona mwisho wa gegenpressing maana huwez kucheza hvyo throughout season(s) mbinu ya mbio muda wote.
Baadae Klopp akaja kupunguza geggen kwa sababu isiyo rasmi hii ni kufikiri kwangu fitness ya wachezaji injury zilikua nyingi na kufungwa magoli mengi ingawa unafunga pia mengi zaidi.
Baadae klopp akaja na method nyingine High Defensive Line akachanganya na gegenpressing. HDL ni mfumo unaotaka ubanaji wa uwanja full backs wanapanda juu robo tatu ya uwanja wa opponent kisha CB's (4,5) wanatanuka kuwa cover RB $ LB na DM anakua katikati ya CB's kuomgeza ulinzi.
HDL inalazimisha opponent kubanwa kwenye half yao huku pressing ikiwa inapigika. Hehehe huu mfumo wa HDL unakera balaa ukichezewa kubaniwa kwako. Embu fikiri uwanja una urefu wa 100+ M halafu mnalazimishwa kutumia nusu tu ya urefu wa uwanja hahah unakera, unaikumbuka BARCA. ile ya kina Xavi Iniesta ilivyokua inakera eh ..?? Ndio haka ka HDL kakitumika kanakua hvyo.
Kwa hiyo Klopp tunaposema mfumo hizo ndio methods zake GEGEN PRESSING HIGH DEFENSIVE LINE, anazotumia high intense, fast-paced, aggressiveness.
Mwisho Klopp ni kocha anayejua kudeal na misuguano ya wachezaji kwa ujumla wake, kocha anayetoa uhuru kwa mchezaji acheze awezavyo. Play Football Enjoy Football.
Mechi ya Barca 2nd leg alipomuingiza Gini alimpa jukumu la kwenda kucheza defensively zaidi ya offensively lakini Gini alienda extra na kucheza offensively na akascore magoli yaliyotupa CL season ile.
THE GERMANY GENIUS IN FOOTBALL.
Jurgen Norbert Kaizer Klopp.
YNWA
Nyie matakataka mlivyo na mbwe mbwe Sasa ..mara opponents mjipange, mara sijui Nini ..mumesahahu sisi ndio mabingwa watetezi UEFA?! Subiri Kwanza nikuchape kwenye carabao ndio ujue huna timu hata ya kuiashia top four msimu huu ..labda top six kidogo utakuwa umejitahidi sana.
munakumbuka goli la Kamanda Covavic.. hehehe mwambieni Alison bakari lile ndio Bora la mwezi January hehehe...😂😂😂
#CFC💙💙💙
Exactly mkuu✊✊Nakumbuka MosDef alielezea hili sakata la Gini kwa kina mpaka ikaonekana kwamba dogo amekua kind of greedy haha lakini who can blame he was 29yrs and the next contract had to be a bit fat maana its might be the last one he hold the upper hand... I suspect Koeman advised the boy he was to be sacked Barcelona hivyo atazame another green pasture kukipiga...
Kucheza MF ya Klopp to my own understanding a player must possess the following traits...
1)TACTICAL AWARENESS
2) POSITION AWARENESS
3) TACTICAL ABILITY
4) UNDERSTANDING THE GAME
5) TECHNICAL ABILITY.
Gini was scoring above 7 or more👆 👆 when on song.
Sasa on Gini...
Gini mchezaji wa kawaida so they say man you don't pay £27.5m for a pedestrian player who was actually relegated on that season.
Even before he signed the data guys had updated Klopp why that signing was significant for his game plan.
Gini alikaangwa na FSG kwamba anataka alipwe £300k kwa wiki. Sasa social media wakamshukia mazima na like you side the whole team was performing horrible without VVD we were really bad and the one player that got the beating kwa Social Media was Gini even saying kwamba he is leaving that why he care less where we finish sasa unajiuliza hio mechi alicheza peke yake. My guess FSG used the media to finish Gini. Wenzetu ni watu wa ku spin sana mambo kama hawakutaki kuna kampuni kazi yao ni ku spread all kind of rumours mpaka uongo unaonekana ni kweli na kwa hili Gini was crucified big time.
Why do Gini and akina Henderson seem effective under Klopp the answer ni hii hapa chini 👇
As well documented Klopp game plans and his support from the data guys.
*Ian Graham Liverpool Director Research
*Will Spearman Lead Data Scientist
*James French Opposition Analysts
*Greg Mathieson Opposition Analyst
*Tim Waskett Statistical Research
Hawa jamaa ndio washauri wa Klopp nini anawategemea sana kuwasabararisha wapinzani na pia kwenye usajili kuhusu namna mchezaji mpya atatumika aje akisajiliwa Liverpool...
Wanamshauri Klopp mpaka position ya wachezaji uwanjani wapi anatakiwa kwa muda gani with or without the ball depending na mfumo wa opposition. That why we always ask mbona MF yetu ni butu haina magoli wala nini well dont expect that to change soon. Klopp trust this guys because they delivered tazama usajili wa Salah na magoli anayofunga by th way wakati anatua nisingesema boy will this good man. Or even Allison or Robertson man. Ni kazi hua inafayika closee doors aisee very interesting how they do this and Klopp transpire that to the boys. I salute them.
Rumours say Edwards used Data to convince FSG kumsajili Klopp pamoja kwamba msimu wake wa mwisho Dortmond ulikua really bad lakini on the data side ilionyesha kwamba they lacked the right players msimu ule.
Edwards mwenyewe ni data pro hivyo FSG agreed and wakamsikiliza and they why Klopp speaks very highly of this data team pale Liverpool.
This guys are just in their own league man. Rumours has its even Liverpool under firing MFS is down to thier way of data haha tutulie jamaaa.
YNWA
Ameongea ukweli mtupu hao watu ni wancheza mpira halisiDiogo Jota says Firmino is the most skilful player at Liverpool followed by Naby.
Mwambie mkuu OllaChuga Oc Ni mtu ambae huwa anatufurahisha tu, sasa anaingizaje matusi ya kumtukania mama? Challenge nikawaida kwenye mpira.Matusi si vyema
Chelsea kapakatwa huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie matakataka mlivyo na mbwe mbwe Sasa ..mara opponents mjipange, mara sijui Nini ..mumesahahu sisi ndio mabingwa watetezi UEFA?! Subiri Kwanza nikuchape kwenye carabao ndio ujue huna timu hata ya kuiashia top four msimu huu ..labda top six kidogo utakuwa umejitahidi sana.
munakumbuka goli la Kamanda Covavic.. hehehe mwambieni Alison bakari lile ndio Bora la mwezi January hehehe...[emoji23][emoji23][emoji23]
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Sisi hatuna mbwe mbwe Kama ninyi ..sisi ni kazi tu ..Yani kazi kazi😀😀Pale Chelsea kuna timu sasa
Achana na vichaa mkuu ..mpira ni burudani 😂😂😂Mwambie mkuu OllaChuga Oc Ni mtu ambae huwa anatufurahisha tu, sasa anaingizaje matusi ya kumtukania mama? Challenge nikawaida kwenye mpira.
Tumepigwa😳😳😳Chelsea kapakatwa huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumepigwa[emoji15][emoji15][emoji15]
Ngoja nipotee[emoji847]