Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mishahara ya wachezaji wanaotarajiwa kuondoka msimu huu wa joto, (takriban Takwimu): Phillips: Pauni 19,000 N. Williams: £9,000 Adrian: £63,000 Karius: £65,000 Minamino: £72,000 Asili: £82,000 Milner: Pauni 150,000 Pauni 395,000 kwa wiki kutoka kwenye bili ya mshahara.
Nathaniel Phillips aliongeza mkataba mwaka jana mpaka 2025 na mshahara wake ulipanda mpaka £64,000 kwa wiki. Na ndio maana Liverpool hawana presha kumuuza mpaka pale bei ina maslahi hivyo hata Juni 2022 itategemea kama ofa itakua na maslahi. Kwa sasa bei yake ni £8m to 15m.

YNWA
 
Mwambie mkuu OllaChuga Oc Ni mtu ambae huwa anatufurahisha tu, sasa anaingizaje matusi ya kumtukania mama? Challenge nikawaida kwenye mpira.
Hakuna mtu anayeita wenzake takataka au vichaa halafu akawa sensitive na lugha chafu

We have been in this thread for over ten years hatukua Tunaona watu wanaita wengine vichaa au takataka

You need to grow up dogo

Pumbavu
 
Akitua tutatisha sana, Tuombe tu Pep asiingile dili kati akaharibu mipango.
Kipara hachelewi kumpa dogo ofa ya £150k kwa wiki na hapo biashara itakua imekwishaaaaaa...

Kama dogo akiheshimu makumbaliano yaliyofikiwa January 2022 basi atatua kwetu lakini pia wakala wake awe na utulivu utasaidia.

Nadhani wakala wake ni Jorge Mendes na baada ya kufanya nae biashara ya Jota kutoka Wolverhampton tupo nae vizuri hivyo huyu dogo atulie Anfield ndio panamfaa zaidi.

YNWA
 
Saint Anne popote ulipo leo tunakipiga mapema sana na Cardiff kombe la FA.

Mechi saa tisa unusu.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
FA CUP
LIVEEPOOL 3 CARDIFF CITY 1
Elliot amerudi wa moto sana mazee, katupia na goli. Yule Diaz nae ni mtu na kilo za kutosha kabisa. Ametoa pasi ya mwisho na Minamino akaitia kambani
Jota kama kawada yake katupia moko kwa kichwa klosi ikipigwa na TAA.
Zaidi ya yote hii game ni kama mazoezi tu kwa timu zinazopaki bus!
#YNWA
 
Elliott kapiga goli contender ya goli bora la FA Cup msimi huu aisee damn....

Ile positivity aliyooshe leo dogo huyu Elliott ni high class aisee...

Diaz ndio kumekucha baada ya drill kadhaa huyu atakua moto sana.

Nilipomuona yuko kwenye benchi nilitarajia anaweza kupata dakika 10-15 ili kumrekebisha na arudi kwenye ubora wake akapata mpira mara mbili na alionekana ana control nzuri na bao lilikuwa zuri. Pia alionekana kutoogopa na hakuonekana kuwa na wasiwasi wowote kuhusu kuuniza jeraha lake. Anyway tunafurahi karudi akiwa kwenye ubora wa huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom