Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu kiwango chake kilikuwa cha kawaida tu, team work ilimbeba, sasa timu ka PSG au Madrid zinategemea uwezo binafsi wa mchezaji, mastaa kibao...
Klopp kocha, liverpool inawachezaji wenye uwezo wa kawaida sana ila wanaperform vizuri, hata Salah akiondoka yatamkuta haya haya
Hahaha ebu tema mate chini ulimi umeteleza Salah akwede wapeeee haha huyu ni wa hapa hapa hapa ohh man that my wish though...

Tuseme tu Klopp is the system... Klopp fundi aisee.

YNWA
 
Screenshot_20220203_145436_com.android.chrome_edit_332764054936202.jpg

We ready to roam haha opponents take notes...

YNWA
 
Hahaha ebu tema mate chini ulimi umeteleza Salah akwede wapeeee haha huyu ni wa hapa hapa hapa ohh man that my wish though...

Tuseme tu Klopp is the system... Klopp fundi aisee.

YNWA
Klop ndo usajili wetu wa mda nguvu tulioufanya yaani jamaa anabadili wachezaji wa kawaida wawe monsters. Gini liver ndo ilimfanya akaonekana ameondoka kwa kiburi sasa yanamkuta, rejea kwa cotinho mpaka sasa anahaha kutafuta momentum aliyokuwa nayo liver bado haipati, amri can nae vivyo hivyo.

Hili ni onyo kwa salah asije akaharibu kufikiria kuondoka liver atasahaulika kwenye ramani mapema
 
Huyu kiwango chake kilikuwa cha kawaida tu, team work ilimbeba, sasa timu ka PSG au Madrid zinategemea uwezo binafsi wa mchezaji, mastaa kibao...
Klopp kocha, liverpool inawachezaji wenye uwezo wa kawaida sana ila wanaperform vizuri, hata Salah akiondoka yatamkuta haya haya
Exactly
 
Kwa Gini binafsi nilisema bora alisepa maana mchango wake ulikua haudhaminiki kabisa na FSG .. Haileti picha alizidiwa mshahara na almost MF wote akina Thiago, Henderson, Ox, Keita, Milner nk pale Liverpool huku muda mwingi wakiwa mezani kwa daktari huku yeye akiwa uwanjani kupambana kwa sababu ya timu na akilipwa pea nuts.. Kinachomkuta PSG ni kigeni kwake japo alisema yeye ni fighter atapambana kuisaka namba na kila akipata nafasi kucheza basi ataitendea haki..

Coutinho duuh Barcelona walitaka awe like for like kwa fundi Andres Inesta kumbe ni wachezaji wawili tofauti kabisa lakini pia mfumo ulimkataa pale Barcelona. Ngoja tumuone chini ya Steve G anaetumia 4 3 3 kama ya Klopp kama atarudisha makali...

Kwa Gini aisee any day of the week huyu mwamba alitakiwa abakie pale pale Anfield hao wengine senior MFs wangesepa tu excluding Fabinho...

Mpira bhana sometimes una matukio ya kuchanganya sana tazama Gini alinyimwa mkataba wa miaka 3 na angalau mshahara ufike £120k mpaka £150k lakini klabu hii hii wamekua wakiwapa nyongeza ya mishahara na mikataba Milner na Henderson 😀😀😀duniani zali la mentali ndio hizi...

Tetesi walimpa Gini mkataba wa miaka 2 na mshahara wa £100k kwa wiki akagoma ku saini. I support the boy kwa umri wake pengine ule ndio ulikua mkataba wake wa mwisho wenye maslahi kwake, Lakini pia alikua determined kufanya kazi na Koeman sijui ni mshahara mnono au taarifa ipi ilimvuta PSG na sio Barcelona...

In the meantime....

Ki ufupi tuna bahati sana ya kua na Klopp na pia ku collapse kwa masoko yetu kuu Real Madrid na Barcelona otherwise mpaka sasa sina uhakika kama Mane na Salah bado wangekua hapa hapa Anfield..

Nafarijika kuona Liverpool ya sasa sio tena stepping-stone ya wachezaji kutua hapa kusaka masoko kwingineko mbali sasa wanajua vyema mafanikio yanapatikana hapa hapa Liverpool...

Liverpool imekua na mvuto kwa wachezaji wengi kujiunga nasi na hii kutokana na Klopp pia ametupaisha parefu sana. Wachezaji wengi waliosajiliwa hua wanasema Klopp factor ilimsaidia kufanya maamuzi kujiunga nasi.. Hata hawa waliongeza mikataba mwaka jana Juni 2021 VVD, TAA, Allison, Fabinho, Robertson wanasema Klopp factor na uhakika wa kupambana UCL, EPL nk

Wamepita wengi Liverpool kwenda kusaka mafanikio kwingine wapi akina Coutinho, Surez, Torres, Fabio Aurellio, Sterling, Raul Mereleis nk

Kwa sasa fununu ni kwamba Firmino, Mane au wote kuna safari kuuzwa Juni 2022 hii kutokana na Klopp kupanga kufanya mapinduzi kikosini kwa ajili ya kupanga continuation ya mapambano..

Asante Klopp kwa kurudisha heshima yetu.

YNWA
 
Bwana wee logistics zilikua mtihani kiasi..

Ngoja tusubiri Juni 2022 taarifa ni kwamba mkataba wake upo tayari na dogo alishakumbali na hii pia ni kutokana na Klopp kuwapa vijana nafasi kama vile TAA, Jones, Kelleher na msimu huu Elliott hivyo inampa picha akijutuma kumbe kupata namba kikosi cha kwanza uwezekano upo..

YNWA
heard summer ataondoka free
 
heard summer ataondoka free
Yeah mkataba wake ndio unaisha lakini sio bure kwa vile wamemkuza wenyewe wapo entitled kupewa mkono wa asante.. Makumbaliano ilikua walipwe £5m plus adds on ingefikia around £8m na Fulham walishakumbalina na dogo pia alishakumbali na ili kuweka mambo sawa Liverpool wakawapa dogo Neco Williams kwa mkopo ili ku seti mambo ya kumnasa Carvalho...

Ni suala la muda.

Japo hatupo peke yetu wapo pia Barcelona, Dortmond, Sevila, Manchester United, Tottenham Nk wanamnyemelea kimya kimya

Sioni dogo akichomoa kwa Liverpoolya Klopp... anyway itategemea na agent wake na shauku ya timu anayotaka future targets zake n.k
 
Who coul have predicted this.

Gini alikua mchezaji wa kwanza match day squad Liverpool. Mpaka anaodoka ndio mchezaji aliecheza mechi nyingi sana chini ya Klopp na tunajua sio kwa bahati mbaya maana dogo hakua anaumia mara kwa mara. He was Mr. Fit.

Sasa haya uwezekano atatemwa kikosi cha PSG kushiriki Uefa ni ngumu kumeza kwake..

View attachment 2106388

In life some situations are unpredictable, dudes watch what you wish for...

YNWA
I feel sorry for him

One of our most loyal servants

Amshukuru Mungu tu sasa
 
Huyu kiwango chake kilikuwa cha kawaida tu, team work ilimbeba, sasa timu ka PSG au Madrid zinategemea uwezo binafsi wa mchezaji, mastaa kibao...
Klopp kocha, liverpool inawachezaji wenye uwezo wa kawaida sana ila wanaperform vizuri, hata Salah akiondoka yatamkuta haya haya
And that is klopp’s game

Kama ni individual talent, Henderson angekua gwambina

Gini went to the wrong team

Kusema alikua wa kawaida ni kauli ya hovyo
 
Klop ndo usajili wetu wa mda nguvu tulioufanya yaani jamaa anabadili wachezaji wa kawaida wawe monsters. Gini liver ndo ilimfanya akaonekana ameondoka kwa kiburi sasa yanamkuta, rejea kwa cotinho mpaka sasa anahaha kutafuta momentum aliyokuwa nayo liver bado haipati, amri can nae vivyo hivyo.

Hili ni onyo kwa salah asije akaharibu kufikiria kuondoka liver atasahaulika kwenye ramani mapema
Gini issue was different… hey refused his request

Cou10 yeye ndio alikataa Liverpool offer

But anyways… kavuna chake
 
Kwa Gini binafsi nilisema bora alisepa maana mchango wake ulikua haudhaminiki kabisa na FSG .. Haileti picha alizidiwa mshahara na almost MF wote akina Thiago, Henderson, Ox, Keita, Milner nk pale Liverpool huku muda mwingi wakiwa mezani kwa daktari huku yeye akiwa uwanjani kupambana kwa sababu ya timu na akilipwa pea nuts.. Kinachomkuta PSG ni kigeni kwake japo alisema yeye ni fighter atapambana kuisaka namba na kila akipata nafasi kucheza basi ataitendea haki..

Coutinho duuh Barcelona walitaka awe like for like kwa fundi Andres Inesta kumbe ni wachezaji wawili tofauti kabisa lakini pia mfumo ulimkataa pale Barcelona. Ngoja tumuone chini ya Steve G anaetumia 4 3 3 kama ya Klopp kama atarudisha makali...

Kwa Gini aisee any day of the week huyu mwamba alitakiwa abakie pale pale Anfield hao wengine senior MFs wangesepa tu excluding Fabinho...

Mpira bhana sometimes una matukio ya kuchanganya sana tazama Gini alinyimwa mkataba wa miaka 3 na angalau mshahara ufike £120k mpaka £150k lakini klabu hii hii wamekua wakiwapa nyongeza ya mishahara na mikataba Milner na Henderson 😀😀😀duniani zali la mentali ndio hizi...

Tetesi walimpa Gini mkataba wa miaka 2 na mshahara wa £100k kwa wiki akagoma ku saini. I support the boy kwa umri wake pengine ule ndio ulikua mkataba wake wa mwisho wenye maslahi kwake, Lakini pia alikua determined kufanya kazi na Koeman sijui ni mshahara mnono au taarifa ipi ilimvuta PSG na sio Barcelona...

In the meantime....

Ki ufupi tuna bahati sana ya kua na Klopp na pia ku collapse kwa masoko yetu kuu Real Madrid na Barcelona otherwise mpaka sasa sina uhakika kama Mane na Salah bado wangekua hapa hapa Anfield..

Nafarijika kuona Liverpool ya sasa sio tena stepping-stone ya wachezaji kutua hapa kusaka masoko kwingineko mbali sasa wanajua vyema mafanikio yanapatikana hapa hapa Liverpool...

Liverpool imekua na mvuto kwa wachezaji wengi kujiunga nasi na hii kutokana na Klopp pia ametupaisha parefu sana. Wachezaji wengi waliosajiliwa hua wanasema Klopp factor ilimsaidia kufanya maamuzi kujiunga nasi.. Hata hawa waliongeza mikataba mwaka jana Juni 2021 VVD, TAA, Allison, Fabinho, Robertson wanasema Klopp factor na uhakika wa kupambana UCL, EPL nk

Wamepita wengi Liverpool kwenda kusaka mafanikio kwingine wapi akina Coutinho, Surez, Torres, Fabio Aurellio, Sterling, Raul Mereleis nk

Kwa sasa fununu ni kwamba Firmino, Mane au wote kuna safari kuuzwa Juni 2022 hii kutokana na Klopp kupanga kufanya mapinduzi kikosini kwa ajili ya kupanga continuation ya mapambano..

Asante Klopp kwa kurudisha heshima yetu.

YNWA
Perfect!!!

Tunajisahau upesi… to me, gini was not treated well

One dark side of his saga was the dip
In form for the club hasa saga lake lilipoanza - was he influential? 🤷🏽‍♂️

Anyways… klopp is our biggest signing Kwa LFC in years
 
Embu tujadili hili.

Klopp ni mfumo.

Tunaposema mfumo maana yake ni muunganiko wa vitu kadhaa kwa ajili ya kupata matokeo fulani chanya ili kufikia malengo.

kama ni 4-3-3 makocha weeeeeeeeengi wanacheza nini nyuma ya Klopp kuitwa system?

Kwanza Klopp ni Gegen pressing method coach. "heavy metal football". Maana yake ni counter pressing. Huu ni mfumo ambao unahitaji high pressing unashambulia kwa kasi na kukabia juu na punde tu timu inapopoteza mpira. Ijulikane huu ni mfumo wa magoli zaidi na mfumo huu unahitaji high aomunt of focus, awareness and fitness.
Gegenpressing ni mfumo unahitaji kua na wachezaji wenye kasi sana maana kwenye ushambuliaji na ukabaji kote ni kasi sio possession method. Alipokuja Mjerumani huyu misimu mitatu ya mwanzo aliwaka na huu mfumo kiasi cha Ferguson kusema anataman kuona mwisho wa gegenpressing maana huwez kucheza hvyo throughout season(s) mbinu ya mbio muda wote.

Baadae Klopp akaja kupunguza geggen kwa sababu isiyo rasmi hii ni kufikiri kwangu fitness ya wachezaji injury zilikua nyingi na kufungwa magoli mengi ingawa unafunga pia mengi zaidi.

Baadae klopp akaja na method nyingine High Defensive Line akachanganya na gegenpressing. HDL ni mfumo unaotaka ubanaji wa uwanja full backs wanapanda juu robo tatu ya uwanja wa opponent kisha CB's (4,5) wanatanuka kuwa cover RB $ LB na DM anakua katikati ya CB's kuomgeza ulinzi.

HDL inalazimisha opponent kubanwa kwenye half yao huku pressing ikiwa inapigika. Hehehe huu mfumo wa HDL unakera balaa ukichezewa kubaniwa kwako. Embu fikiri uwanja una urefu wa 100+ M halafu mnalazimishwa kutumia nusu tu ya urefu wa uwanja hahah unakera, unaikumbuka BARCA. ile ya kina Xavi Iniesta ilivyokua inakera eh ..?? Ndio haka ka HDL kakitumika kanakua hvyo.

Kwa hiyo Klopp tunaposema mfumo hizo ndio methods zake GEGEN PRESSING HIGH DEFENSIVE LINE, anazotumia high intense, fast-paced, aggressiveness.

Mwisho Klopp ni kocha anayejua kudeal na misuguano ya wachezaji kwa ujumla wake, kocha anayetoa uhuru kwa mchezaji acheze awezavyo. Play Football Enjoy Football.

Mechi ya Barca 2nd leg alipomuingiza Gini alimpa jukumu la kwenda kucheza defensively zaidi ya offensively lakini Gini alienda extra na kucheza offensively na akascore magoli yaliyotupa CL season ile.

THE GERMANY GENIUS IN FOOTBALL.
Jurgen Norbert Kaizer Klopp.
YNWA
 
Who coul have predicted this.

Gini alikua mchezaji wa kwanza match day squad Liverpool. Mpaka anaodoka ndio mchezaji aliecheza mechi nyingi sana chini ya Klopp na tunajua sio kwa bahati mbaya maana dogo hakua anaumia mara kwa mara. He was Mr. Fit.

Sasa haya uwezekano atatemwa kikosi cha PSG kushiriki Uefa ni ngumu kumeza kwake..

View attachment 2106388

In life some situations are unpredictable, dudes watch what you wish for...

YNWA
Truly i missed him
 
Truly i missed him
What a boy down to earth fighter, followed Klopp directions with utmost dedication...

He made VVD, Robertson and Fabinho work very smoothly as he was operating on the left side man.

To me he is legend, remember how he fixed Barcelona on our way to win the sweet 6th UCL trophy Hahaha.. Even Messi was astonished haha...

He aint the gifted like his fellow stars in PSG but man if you want a guy who followed Klopp game plan to the letter he is the one then Firmino.

He was played out of position at Liverpool but rarely did that affect his performance...

I hate now he might not be playing at UCL...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom