Waliondoka akina Torres, Suarez, Sterling etal na tukabaki still poa tu. Sioni tatizo mchezaji yeyoye akiondoka no matter how great they might be, kibaya gaffer akiondoka ndio tataizo.

tulibaki powa?????Ndiyo! sasa ulitaka tuwe mabingwa miaka yote??? Tantrums tulizipata haswa kwa upande wa manangement. Kama unaielewa na unafuatila footie huwezi pata wasiwasi punde mchezaji star akiondoka as long as the same gaffer is still on though!tulibaki powa?????
We got Supa Mario haha why worry hahaha pale Ac Milan walitupiga...tulibaki powa?????
Hahahaha unakumbuka Mara ya mwisho Hazard aliwafanya Nini carabao?! Ndio kitu tunaenda wafanyia nyie kuku ..sisi mbele ya kombe huwa hatuna msamaha kabisa. Tunawanywa mapema tu Yani mjipange haswa maana kikombe hiki ni Mali yetu sisi ..🤣😂😂😂😂😂😂Huyu Chugga man ni mgeni wetu kuchangamsha jukwaa na anajua vyema sisi ndio wakali wake..
Ollachuga Oc atakua anatumwa na Thomas kocha wao kutuletea mind games hapa, atake asitake Wembley analala huku tukinyanyua kwapa na kwenye ligi hatomaliza zaidi ya nafasi ya 3 🤣🤣 huku pia UCL akisema bye bye. Pona yake ni ushauri wa Lukaku ufuatwe kwamba anatumika isivyo kimfumo.
YNWA
Hahahaha itakua gemu powa sanaaaa.Hahahaha unakumbuka Mara ya mwisho Hazard aliwafanya Nini carabao?! Ndio kitu tunaenda wafanyia nyie kuku ..sisi mbele ya kombe huwa hatuna msamaha kabisa. Tunawanywa mapema tu Yani mjipange haswa maana kikombe hiki ni Mali yetu sisi ..🤣
CFC💙💙💙
tuliuza ma gobore tukanunua manatiWe got Supa Mario haha why worry hahaha pale Ac Milan walitupiga...
We got Andy Carroll haha by then British record..
We got Rickie Rock Lambert haha..
List is endless na wote walikua cash badly spent...
YNWA
Mo Salah haondoki... anayeondoka ni MinaminoMo Salah nje ya mfumo wa Klopp ni mchezaji wa kawaida sana,
Akiondoka ndio kajimaliza, Liverpool tuna kocha mzuri sana na anambinu nzuri.
Sasa mkuu hapo kwenye kupigwa hata usijarib kuongea takumi tumemchukua kwa bei ya mtumba kabisa milion 8 tu hapo bado hatujamuuza na bado ametupia vigoli ambavyo vinaenda kutupa kombe mbele yenuHuyu Luis Diaz tumepigwa hamuna kitu mule..
Takumi alikuja kwa mbwembwe lakini mwishowe tumemuona.
Leo umejichua ?Huyu Luis Diaz tumepigwa hamuna kitu mule..
Takumi alikuja kwa mbwembwe lakini mwishowe tumemuona.
Hahaha tangu hapo FSG became smart and brutal hawataki bora kununua aisee lazima iwe value for money unless for exceptional talent kama Thiago...tuliuza ma gobore tukanunua manati
Huyu Luis Diaz tumepigwa hamuna kitu mule..
Takumi alikuja kwa mbwembwe lakini mwishowe tumemuona.
Awafu mwenye nguvu!!! Daah watu mna maneno aiseeSasa mkuu hapo kwenye kupigwa hata usijarib kuongea takumi tumemchukua kwa bei ya mtumba kabisa milion 8 tu hapo bado hatujamuuza na bado ametupia vigoli ambavyo vinaenda kutupa kombe mbele yenu
Sasa tukija kwenu mabingwa wa kupigwa hata ctachukua wachezaj weng
1.Kepa anaezubaaga
2.Timo werner
3.Bolingoli a.k.a awafu mwenye nguvu
Emb tuongee nan bingwa wa kupigwa
Harafu ni kweli ,Salah nje ya klop ni garasha tu ,ni shati inayotembea uwanjani ....Mo Salah nje ya mfumo wa Klopp ni mchezaji wa kawaida sana,
Akiondoka ndio kajimaliza, Liverpool tuna kocha mzuri sana na anambinu nzuri.



