Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Naskia kuna mchezaji mpya Diaz mnaemfahamu tuambieni record zake ziko vipi tumepigwa au tumeula hapo.?
Safi kabisa ndio vyuma sasa.
So shall be its....Tuombe Mungu our central midoz wawe fit tuna super marathon from now to may
Yaaani hapa hakuna kisingizio hapa ni uzima wa kikosi wawe salama na ready to tango...Safi kabisa ndio vyuma sasa.
Kwann mkuuMganga wa Adrian ana Mizimu mikali sana
Focus, Concetration , Enjoy playing football.No relaxing man...
We are up to the task..
Every game kwetu sasa ni final that the only way tutakua salama.
FA, Carabao, Epl, UCl is up for the grabs haya kazi kwa vijana wapambane.
YNWA
Bwana wee logistics zilikua mtihani kiasi..
Super focus maintaining good discipline especially when leading with 1 goal difference...
Asingepata chance
Google ina data za kutoshaNaskia kuna mchezaji mpya Diaz mnaemfahamu tuambieni record zake ziko vipi tumepigwa au tumeula hapo.?
Huyu kiwango chake kilikuwa cha kawaida tu, team work ilimbeba, sasa timu ka PSG au Madrid zinategemea uwezo binafsi wa mchezaji, mastaa kibao...Who coul have predicted this.
Gini alikua mchezaji wa kwanza match day squad Liverpool. Mpaka anaodoka ndio mchezaji aliecheza mechi nyingi sana chini ya Klopp na tunajua sio kwa bahati mbaya maana dogo hakua anaumia mara kwa mara. He was Mr. Fit.
Sasa haya uwezekano atatemwa kikosi cha PSG kushiriki Uefa ni ngumu kumeza kwake..
View attachment 2106388
In life some situations are unpredictable, dudes watch what you wish for...
YNWA