Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
FSG kutoa zaidi ya £5m wanachemk mpaka sasa wanasubiri dogo ndio afosi hii move ili Fulham wawe vulnerable.

Taarifa ni kwamba Fulham waliweka bifu fulani ile ishu ya Elliott hivyo furaha yao ni dogo tusimpate hata kama Juni 2022 wanaweza kuja kupata ela kiasi wapo tayari kusubiri...

Screenshot_20220131_204201_com.android.chrome_edit_255504666009449.jpg

YNWA
 
Hahaha Gerrard huyu huyu aliemsajili Chambers wa Arsenal hahaha....

leo nimeona Aston Villa wamemuuza Matt Target kwenda Newcastle kwa vile wamepata Chambers na Digne...

Muda utasema jamani. Muda hua haugopi.

Steve the great ana nafasi ya kutuonyesha laivu bila chenga akija Liverpool nini tutapata..

Screenshot_20220131_203423_com.android.chrome_edit_255518984164134.jpg

YNWA
 
Kikosi cha Liverpool baada ya dirisha la January kufungwa..

Liverpool 2021/22 potential Premier League squad in full

Goalkeepers: Alisson, Adrian, Caoimhin Kelleher (HG).

Defenders: Virgil van Dijk, Ibrahima Konate, Joe Gomez (HG), Kostas Tsimikas, Andy Robertson, Joel Matip, Trent Alexander-Arnold (HG).

Midfielders: Fabinho, Thiago Alcantara, James Milner (HG), Naby Keita, Jordan Henderson (HG), Alex Oxlade-Chamberlain (HG).

Forwards: Roberto Firmino, Sadio Mane, Mohamed Salah, Takumi Minamino, Diogo Jota, Luis Diaz, Divock Origi.

Hawa hapa hawahitaji kuwa registered kwa vile wamezaliwa baada ya January 2000..👇 👇
Senior Under-21s players: Curtis Jones, Harvey Elliott, Rhys Williams, Kaide Gordon, Owen Beck, Leighton Clarkson, Tyler Morton, Conor Bradley.

Karius anatemwa rasmi kikosini nafasi yake anachukua Luiz ili kutimiza matakwa ya Ligi kuruhisiwa kusajili kikosini wachezaji 17 kutoka nje ya Uingereza na wachezaji wazawa 8 ili kutimiza kikosi cha wachezaji 25 kama inavyotakiwa na bodi ya ligi. Baada ya usajili wa wa Luiz tutakua na wachezaji 23 kumaliza mzunguko wa pili.

Hawa hapa hawahitaji kuwa registered kwa vile wamezaliwa baada ya January 2000..
Senior Under-21s players: Curtis Jones, Harvey Elliott, Rhys Williams, Kaide Gordon, Owen Beck, Leighton Clarkson, Tyler Morton, Conor Bradley.

Karius anatemwa rasmi kikosini nafasi yake anachukua Luiz ili kutimiza matakwa ya Ligi kuruhisiwa kusajili kikosini wachezaji 17 kutoka nje ya Uingereza na wachezaji wazawa 8 ili kutimiza kikosi cha wachezaji 25 kama inavyotakiwa na bodi ya ligi. Baada ya usajili wa wa Luiz tutakua na wachezaji 23 kumaliza mzunguko wa pili.

YNWA
HG= Home Grown.

Diaz ni additinal value nzuri sana this january.

Full fit Naby Thiago Elliot ni additional value kwenye mid. kwenye round ya pili .

Full fit squad we are going to badly fire...

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
 
Mganga wa Adrian ana Mizimu mikali sana
 
HG= Home Grown.

Diaz ni additinal value nzuri sana this january.

Full fit Naby Thiago Elliot ni additional value kwenye mid. kwenye round ya pili .

Full fit squad we are going to badly fire...

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
No relaxing man...

We are up to the task..

Every game kwetu sasa ni final that the only way tutakua salama.

FA, Carabao, Epl, UCl is up for the grabs haya kazi kwa vijana wapambane.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom