Screenshot_20220128_215017_com.android.chrome_edit_169149535509605.jpg

YNWA
 
Huu usajili wa Luis Diaz utatutokea Puani manake utachukua muda sana ili kuweza kuletewa mchezaji mwengine

Kabisa mkuu hapa sasa tutulie kimya mpaka January nyingine tena.

Tufurahie sasa hivi msimu ujao ukianza tutulie.

Timu yetu tumeshaanza kuijua vizuri kwa sasa.kila msimu mchezaji moja tu anasajiriwa tofauti na hapo wanasajiriwa watoto.
 
Huu usajili wa Luis Diaz utatutokea Puani manake utachukua muda sana ili kuweza kuletewa mchezaji mwengine
Huu usajili ni ishara kuna safari kuuzwa kwa mmoja ama wawili kati ya hawa
  • Mane
  • Salah
  • Firmino
  • Origi
  • Taikumi

Pazuri ni kwamba huyu dogo akitua mapema hivu tutapata picha kama uzito wa jezi ataimudu vyema..

Huyu ni pacha wa Jota anapiga na miguu yote miwili na wanasema chini ya mwalimu Klopp atafika levo zingine..

Klopp revolution inakwenda powa kimtindo usajili wa Jota, Konate na Diaz ni kimkakati ukitazama umri wao utaona taratibu anaanza kupanga maisha bila hawa top performers wetu wa sasa..

nadhani minamino ataondoka wakati wa summer na origi akimfuata. Bado nina wasi wasi na mkataba wa Mo anaweza kusepa?
 
nadhani minamino ataondoka wakati wa summer na origi akimfuata. Bado nina wasi wasi na mkataba wa Mo anaweza kusepa?
Minamino naona Leeds walipeleka ofa Liverpool wakaikataa na pia kuna timu kutoka Ujeremani ngoja tuone mpaka deadline labda itafanyika jambo.

Mo Salah ili asaini alishawaambia Liverpool anahitaji wachezaji wengine wasajiliwe maana anahitaji kushinda makombe hivyo klabu lazima iweke commitment kuonyesha hilo. Akitua Diaz itakua mwanzo mzuri. Sasa la Sala kusaini naona klabu wana delay kimtindo kusubiri Juni 2022 kuona wateja wetu watarajiwa endapo FSG wakiona bora wa cash itakua aje. Mostly likely destination kwa Salah ni Chelsea, PSG, Juventus na Real Madrid. Hii inakua ngumu kutabiri maana haijulikana mpaka sasa Mbappe atasepa ama PSG wakimpata Zizou atasaini, huku Halaad ikiwa mtihani maana nae PSG, Real M, Barcelona, Manchester City, Manchester United, Bayern Munich nk hizo timu zinasubiri bei yake ishuke mpaka £68m wamfuate mazima...

Mridhi wa Edwards Mr Ward ndio kasimamia hii show ya Diaz na ni win kubwa akitua kwa hii deal ikumbukwe Juni 2022 Porto walitaka straight cash ya £60 sasa huyu transfer guru ka negotiate malipo ya amamu kwa £37m na £15m adds on, jamaa ana net work nzuri sana hivyo tupo katika mikono salama.

YNWA
 
Back
Top Bottom