Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220130-154548.png
 
Mara pap akatua na huyu mkali Denis Lemi Zakaria Lako Lado mambo yatakua bam bam sana hapo Fabinho anasogea mbele kidogo kusaka magoli nje ya 18 na kuzuia early counters na huyu mwamba kutoka Usiwisi anacheza DM.

YNWA
Trending now

(🟢) NEW:

Liverpool trying to sign Fabio Carvalho before the deadline. [Sky/Vinny O’Connor]
 
Naona wanasema LFC wame submit bid ya £12m na wana push kufinalize deal kabla ya kesho na kama likikamilika Carvalho atapelekwa FC Porto kwa loan ya 6 months.
 
Jana niikuwa naangalia mechi ya Fulham vs Blackpool Aisee kuna kijana mmoja alikuwa anacheza Attacking Midfilder ya Fulham anaitwa FABIO CARVALHO Aisee nikasema Klopp hamuoni huyu ...............Kumbe amwmuona bana Dogo anajua sana.
 
Tutupie hapo 10 asee na mkataba mzuri. 25 years old anatufaa kwa muda mrefu kidogo.
Hahaha bhana wee ingekua safi sana.

Mrdihi wa Edwards ni Julian Ward ambae ana miaka 9 pale Liverpool moja ya majukumu yake miaka hio ilikua ni Scout Meneja nchi za Portugal na Spain kwa ajili ya Liverpool hivyo jamaa ana network powa sana ya vipaji...

Kabla ya hapo alikua anafanya kazi ya kusaka wachezaji kwa ajili ya Manchester City na timu ya taifa ya Ureno...

Ni mwaka wa pili sasa tangu awe msaidizi wa Edwards.

Huyu Zakaria ni machini haswa Klopp is interested design kama ya Matip ngoja tuone aisee.

YNWA
 
Naona wanasema LFC wame submit bid ya £12m na wana push kufinalize deal kabla ya kesho na kama likikamilika Carvalho atapelekwa FC Porto kwa loan ya 6 months.
Hahaha design kama Zakaria kwenda Juventus haha huyu Carvalho mkataba wake unaisha Juni 2022 sasa Liverpool wamestuka dogo kiwango kimeongezeka ikija Juni 2022 itakua vita kumpata wanaona bora watoe ela sasa kuliko kusubiri Juni 2022 wamchukue chini ya £10m design kama Elliott kwa bei kutajwa na tribunal...

YNWA
 
Hahaha bhana wee ingekua safi sana.

Mrdihi wa Edwards ni Julian Ward ambae ana miaka 9 pale Liverpool moja ya majukumu yake miaka hio ilikua ni Scout Meneja nchi za Portugal na Spain kwa ajili ya Liverpool hivyo jamaa ana network powa sana ya vipaji...

Kabla ya hapo alikua anafanya kazi ya kusaka wachezaji kwa ajili ya Manchester City na timu ya taifa ya Ureno...

Ni mwaka wa pili sasa tangu awe msaidizi wa Edwards.

Huyu Zakaria ni machini haswa Klopp is interested design kama ya Matip ngoja tuone aisee.

YNWA
Hivi kwanini hatuchokozi hata kidogo kwa Bissouma?
 
Hahaha design kama Zakaria kwenda Juventus haha huyu Carvalho mkataba wake unaisha Juni 2022 sasa Liverpool wamestuka dogo kiwango kimeongezeka ikija Juni 2022 itakua vita kumpata wanaona bora watoe ela sasa kuliko kusubiri Juni 2022 wamchukue chini ya £10m design kama Elliott kwa bei kutajwa na tribunal...

YNWA
Sure thing. Suitors watakuwa wengi sana by summer. Ni heri tufanye yetu mapema. Kwa fee ya region hiyo ya 10m sio mbaya at 19years old ni bargain.
 
Hivi kwanini hatuchokozi hata kidogo kwa Bissouma?
Baada ya Elliott kupona na Jones, Ox kurudi naona Klopp anakomaa na alionao pale kati kwanza na ukumbuke pia Thiago anatarajia kurudi na Keita pia ..

Bissouma ni Juni 2022 ndio mpango. Hopefully atakua bado yumo maana Aston Villa walionyesha nia kwa £30m January hii.

YNWA
 
Sure thing. Suitors watakuwa wengi sana by summer. Ni heri tufanye yetu mapema. Kwa fee ya region hiyo ya 10m sio mbaya at 19years old ni bargain.
Hahaha bwana wee huyu dogo atue kwa kweli ni kipaji aisee kusubiri Juni 2022 usishangae wakatuzidi wengine donge nono la mshahara nk...

Amefunga magoli 11 katika gemu 19 msimu huu na kwa umri wake na kule Championship kulivyo kugumu sio haba ujue...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom