Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
I don't like the way we are treating karius. Alistahili kuanza game ya leo ila sawa sio mbaya. Just saying
 
Hapo ingekuwa Livakuku mngeomba mechi zenu zote hadi zile za FA na Karabao ziahirishwe

1641738948307.png
 
Hiyo 4 hujaiona?
Nyie nyumbu mlicheza na wolves wakawatandika na bao mkatoka na sifuri yaani nunge
Mtaniambia nini nyie nyumbu wa kuitwa manchester
Tulia wew na saiv maneke Yuko afcon na mudi sarahafina mtakua mnaoga kila siku mvua ya magoli saiv livakuku mtatupa Sana hela kwenye mikeka
 
Tulia wew na saiv maneke Yuko afcon na mudi sarahafina mtakua mnaoga kila siku mvua ya magoli saiv livakuku mtatupa Sana hela kwenye mikeka
Acha ramli.
Mbona hawapo na tumefunga magoli manne.

Kwa kiwango chenu nyie nyumbu hata mkicheza na timu za tandahimba huko mtwara wanawafunga😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom