Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Mechi ya Chelsea kulikua na covid case kibao na injury ila wakaambiwa wachukue watoto wa u18 wacheze ila hawa mbuzi wanawaogopa arsenal wameomba mechi ihairishwe na wamekubaliwa
Ila kweli wewe ndo mbuzi. Hakuna hata kocha mmoja mzima. Wote ni corona positive test. Ulitaka ukae wewe benchi la ufundi. Acha kupata habari za Liverpool gizani.
 
Waoga tu hiyo haina jina jingine, kocha akipatwa na corona ndie anacheza?
Tutawasubiri Sunday, mtakuja tu hamuwezi kukwepa
Uanataka wachezaji waingie wazimie uwanjani?
We unaweza kucheza ukiwa hoi unaumwa?
Subiri tupone tuwanyooshe nyie Asenali wabovu.
 
Uanataka wachezaji waingie wazimie uwanjani?
We unaweza kucheza ukiwa hoi unaumwa?
Subiri tupone tuwanyooshe nyie Asenali wabovu.
Tarehe 13, awe Klopp kapona au la mtaletwa chini ya ulinzi mkali ili sisi Arsenal tutimize jambo letu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom