Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We can confirm Pepijn Lijnders has returned a suspected positive test for COVID-19, further impacting our preparations for Thursday’s Carabao Cup tie with Arsenal.
 
Liverpool mijanja sana mmefunga training ground kwa kisingizio cha covid cases
Mnataka mechi zenu postponed kwasabab key players wanaenda AFCON, hamna lolote acheni janja janja.
 
[emoji116]
Screenshot_20220105-143334.jpg
 
Zege halilali
Maajabu ya duniani, kwa mara ya kwanza kwenye uhai wangu Liverpool anamuogopa Arsenal'
Wachezaji wenye Covid ni Firmino, Alisson na Matip tu
Sidhani kama EFL watabase wagonjwa watatu kuahirisha mechi
 
Mechi ichezwe hatutaki visingizio, au mnawaogopa vijana wa Arteta ?😆
 
Mechi ya Chelsea kulikua na covid case kibao na injury ila wakaambiwa wachukue watoto wa u18 wacheze ila hawa mbuzi wanawaogopa arsenal wameomba mechi ihairishwe na wamekubaliwa
 
Mbona mechi na Spurs tulicheza hivyo hivyo.Mkuu makocha wetu wote wanaumwa. Mkuu unataka tucheze na watoto tufungwe mtucheke,tushindane kialali sasa sio kushinda kwa ujanja ujanja tu.
 
Zege halilali
Maajabu ya duniani, kwa mara ya kwanza kwenye uhai wangu Liverpool anamuogopa Arsenal'
Wachezaji wenye Covid ni Firmino, Alisson na Matip tu
Sidhani kama EFL watabase wagonjwa watatu kuahirisha mechi
Sidhan Kama unakijua ukisemacho...au labda unatania...,maana siamin MTU Kama wewe ukawa na haya mawazo...LAKIN NGOJA NIKUBALIANE NAWE..NIKWELI TUNAWAOGOPA ARSENAL...NA NDIO MAANA MPAKA UWANJA WA MAZOEZ UMEFUNGWA..ASENO WANATISHA MKUU
 
You have made my day.

😂😂😂😂Wanatisha sanaaaaaa.

YNWA
 
I think na game ya Jumapili inabidi isichezwe as kuna interval ndogo kutoka kuomba mechi ya Arsenal iahirishwe mpaka Jumapili.
 
Sidhan Kama unakijua ukisemacho...au labda unatania...,maana siamin MTU Kama wewe ukawa na haya mawazo...LAKIN NGOJA NIKUBALIANE NAWE..NIKWELI TUNAWAOGOPA ARSENAL...NA NDIO MAANA MPAKA UWANJA WA MAZOEZ UMEFUNGWA..ASENO WANATISHA MKUU
Kama sio waoga basi mna katimu kadogo, na kwa form ya Arsenal mngenyunyiziwa magoli ya miaka yote
 
Kweli nyie ni makuku wa kisasa ..munalialia korona kumbe salah na mane hawapo. Hamuna timu nyie aise ..munayiogopa hadi arse8??! Hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom