Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kiukweli hakuna timu inayonichekesha safari hii kama man u😂😂😂
 
Konaté Ni Maguire mweusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Janaa huyu Mendy au Kante ndio man of the match.. Waliupiga mwingi sana.

Hakika ni proper upgrade ya Kepa. Kwa huyu dogo ni kipa haswa.

Makipa wengi wazuri hufungwo magoli ya ajabu ajabu hivyo.

YNWA
Man of the match ni Mateo kovacic kitakwimu huyu ndio aliongoza kuliko mchezaji yoyote akifuatiwa na Ngolo kante
 
Roho ilimuumaje jamani!
Anashangaa mpira uleee.
Btw jamaa uwezo mkubwa,kipindi cha pili alifight sana


Sasa imagine hawa matakataka wa OllaChuga Oc wanaenda kucheza bila huyu jamaa,,,hili timu linaenda kufia mbele.
Tuna Kepa the Best ambaye hata Allison anakatwa namba pale.
Tukiweka ushabiki pembeni, Kati ya Kepa na Allison Nani mkali?
 
Badala ya kununa inabidi kucheka aisee yaaani ugenini unaanza na Henderson na Milner seriously...

Ki ufupi Milner, Keita, Henderson ni utopolo..

Hahaha Jota out khaaa...

Kipara bye bye.

YNWA
Muwe mnaacha unafiki, timu ikishinda midfielder nzuri ikifanya vibaya eti midfielder utopolo, hovyo kabisa pumbavu zenu. Katika mpira kuna matokeo matatu keep it.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…