Clearance kama aliyofanya ake ,alishaifanya stone vs liverpool ...tukatoka na ubingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Pazuri ni kama kipara sasa upepo unaanza kata vile zile shinda goli 4+ hakuna...
Nimefuatilia ma pundits wengi ambao wapo neutral wanasema ile penati ya Arsenal wamenyimwa ndugu. Kwamba iweje ya Bernado ashauriwe akatazame Tv ya pembeni mwa uwanja lakini ya Arsenal hakushauriwe wakati inaonekana Enderson hakugusa mpira.. Unakumbuka ile mechi ya Liverpool vs Tottenham haya yalitukuta Kane alimchezea rafu mbaya Robertson lakini VAR haikusema refa akatazame mwenyewe ajiridhishe kama ni kadi nyekudu ama ala hivyo haya matukio baada ya gemu yakija kuchambulia yanaonyesha refa hakua neural kufanya maamuzi fair. Matukio ni mengi sana kwa mfano Rodri alicheza rafu mbili za kupewa kadi lakini hakupewa hata moja ndio maswali yana trend...
Penalty ya Bernado hata bila kushikwa jezi dogo alikua tayari anakwenda chini hivyo nadhani pale refa alitazame Grant kumshika jezi dogo kama ndio alimvuta aanguke eneo la hatari...
Gabriel kadi za kijinga alipata nadhani na kukosa uzoefu pia kulimchanganya. Hana wa kumlaumu pale.
Hata hivyo ushindi wako hauna shaka ni ushindi wa kibingwa kabisa. Ni dhahiri bado Manchester City is the team to beat.
Arsenal jana wamewap a proper game sio yale mazoea kuwachapaga mengi jana they meant business na walikua na nafasi kama 3 za kumaliza ile gemu wakachemka ile kosa ya Martineli alivyookoa Ake sio ya kukosa kabisaaaa...
YNWA
Umerudi baada ya timu ya kuanza kushinda shinda vimechi viwili vitatu! Prodigal sonkwanini Mohamed Salah leo hatocheza?
Bwana wee ile clearance kwenye mapitio matukio yaliowapa ubingwa ile clearance ipoooo....Clearance kama aliyofanya ake ,alishaifanya stone vs liverpool ...tukatoka na ubingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huyu jamaa sijui alipoteaje tu.
Tetesi
Allison out with covid...
Firmino out...
Ox out...
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kenge linarukaruka kwenye maji, subiria ikifika saa moja na nusu liver anavunja daraja halafu anachomoa kenge mmoja mmoja mpaka wafike kenge 6.Nyie kuku leo tunawachemsha na kuwanywa supu mkiwa hiv iv hai hatuna haja ya kuwachinja ..ni kuwakamata kisha jikoni ..mpaka mnaiva tunawala ivyo ivyo leo. Sisi ndio Chelsea sasa.
Pazuri sasa leo darajani tuchomoke na pointi 3 muhimu sana.Anyway next game ya Chelsea ni v/s Man City
Boy was already going down poor Grant Xhaka alijikuta mahala asipozoea...
Ramli kama ramli [emoji23][emoji23][emoji23]Pazuri sasa leo darajani tuchomoke na pointi 3 muhimu sana.
Hii itasaidia sana next game ya Kipara kupendeza wamalizane wenyewe mara pap apigwe ama sare haha kwa hali imekua mbaya mpaka tunaanza ramli..
YNWA
Tetesi
Allison out with covid...
Firmino out...
Ox out...
YNWA
Hata tukimfunga City hamtamkamata, city akikutana na hizi timu ndogo anawakung'uta kweli kweli na mtaji wake wa ubingwa uko hapoPazuri sasa leo darajani tuchomoke na pointi 3 muhimu sana.
Hii itasaidia sana next game ya Kipara kupendeza wamalizane wenyewe mara pap apigwe ama sare haha kwa hali imekua mbaya mpaka tunaanza ramli..
YNWA
Pazuri ni kama kipara sasa upepo unaanza kata vile zile shinda goli 4+ hakuna...
Nimefuatilia ma pundits wengi ambao wapo neutral wanasema ile penati ya Arsenal wamenyimwa ndugu. Kwamba iweje ya Bernado ashauriwe akatazame Tv ya pembeni mwa uwanja lakini ya Arsenal hakushauriwe wakati inaonekana Enderson hakugusa mpira.. Unakumbuka ile mechi ya Liverpool vs Tottenham haya yalitukuta Kane alimchezea rafu mbaya Robertson lakini VAR haikusema refa akatazame mwenyewe ajiridhishe kama ni kadi nyekudu ama ala hivyo haya matukio baada ya gemu yakija kuchambulia yanaonyesha refa hakua neural kufanya maamuzi fair. Matukio ni mengi sana kwa mfano Rodri alicheza rafu mbili za kupewa kadi lakini hakupewa hata moja ndio maswali yana trend...
Penalty ya Bernado hata bila kushikwa jezi dogo alikua tayari anakwenda chini hivyo nadhani pale refa alitazame Grant kumshika jezi dogo kama ndio alimvuta aanguke eneo la hatari...
Gabriel kadi za kijinga alipata nadhani na kukosa uzoefu pia kulimchanganya. Hana wa kumlaumu pale.
Hata hivyo ushindi wako hauna shaka ni ushindi wa kibingwa kabisa. Ni dhahiri bado Manchester City is the team to beat.
Arsenal jana wamewap a proper game sio yale mazoea kuwachapaga mengi jana they meant business na walikua na nafasi kama 3 za kumaliza ile gemu wakachemka ile kosa ya Martineli alivyookoa Ake sio ya kukosa kabisaaaa...
YNWA
City hata pumzi ikikata unadhani Liver au chelsea kuna mwenye consistency ya kuwafikia? akidrop nao watadrop tuu, akishinda wao wanadrop, kifupi kila msimu unapoanza bingwa ni Man city untill it proved otherwiseMkuu round ya pili mechi zinakuwa ngumu sana hata hao wafungaji hawatakuwa Na huwezo wa kufunga idadi ya magoli waliofunga round ya kwanza,mara nyinyi inakuwa ushindi wa goli moja moja tu.
Mechi Na leicester sikushangaa sana kufungwa maana round ya pili naijua Vizuri,ndio maana unasema city pumzi imekata idadi ya magoli imepungua, hiyo ni kawaida sana kwa round pili,ndio maana round ya kwanza unatakiwa uwe juu hapo kwa point nyingi ili ujiakikishie ubingwa,
Sasa hivi ugumu wa mechi utakuwa Kwa kila timu sio city tu.timu nyingi zilikuwa bado hazijaanza mechi Za round ya pili.