Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Relax.
Kuna jitu nalishughulikia huku

Happy New Year.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Woow what a game.

Again VAR inatoa majibu ya kuchanganya hawa jamaa yaaani unajiuliza Odegard sio penati lakini ya Bernardo ni penati..

Hongereni sana kwa kumpa kipara a real game. Ilikua burudani tosha.

Keep up the good work mtakaa powa sana going forward.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Klopp angekuwa Kocha wa Chelsea au Manchester United zenye Bajeti nzuri ya Usajili angemhamisha Kipara kwenye EPL akampeleka PSG.
Long time Klopp mbona angeshaweka hati miliki na EPL trophy...

Tuna wamiliki waajabu sana. Japo ni kweli wameturudisha kwenye anga za ushindani na klabu inajiedesha yenyewe lakini unavyoshidana na Kipara + Mansour lazima kuwa na kikosi kamilifu tofauti na sasa tuna kikosi cha ku unga unga na super glu...

YNWA
 
Klopp angekuwa Kocha wa Chelsea au Manchester United zenye Bajeti nzuri ya Usajili angemhamisha Kipara kwenye EPL akampeleka PSG.

Epl ingekuwa anatangaza ubingwa round ya kwanza tu.maana ushindi ungekuwa ni mechi zote hakuna draw.[emoji3]

Wachezaji wanalipwa mishahara hadi Aibu.tuna world class player lakini hakuna aliyekuwa Kwenye top 10 ya kulipwa mshahara mkubwa hapo epl.

Matajiri wetu Aisee wanazingua sana.
 
Woow what a game.

Again VAR inatoa majibu ya kuchanganya hawa jamaa yaaani unajiuliza Odegard sio penati lakini ya Bernardo ni penati..

Hongereni sana kwa kumpa kipara a real game. Ilikua burudani tosha.

Keep up the good work mtakaa powa sana going forward.

YNWA
Mkuu kama unaangalia mpira then unasema hayo matukio mawili huyaelewi basi acha kupoteza muda kufuatilia mpira ....

Penalty ya arsenal imeangaliwa mara mbili kila mtu kaona kabisa ....

Kuvutwa shati kwa bernado kila mtu kaona kabisa ...[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwahiyo yule dogo wa arsenal hakuchezewa rafu au ?? Usijitie ufahamu leo city kabebwa kabisa waziwazi maana ile penalty ya silver ilikua ya mchongo kabisa jamaa alijiandaa kudondoka kabisa... Anyway mmeshinda yashapita...
 
Wewe unastress zako tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hakuna lingine pole Sana
 
Nyie kuku leo tunawachemsha na kuwanywa supu mkiwa hiv iv hai hatuna haja ya kuwachinja ..ni kuwakamata kisha jikoni ..mpaka mnaiva tunawala ivyo ivyo leo. Sisi ndio Chelsea sasa.
 
Mkuu kama unaangalia mpira then unasema hayo matukio mawili huyaelewi basi acha kupoteza muda kufuatilia mpira ....

Penalty ya arsenal imeangaliwa mara mbili kila mtu kaona kabisa ....

Kuvutwa shati kwa bernado kila mtu kaona kabisa ...[emoji28][emoji28][emoji28]
Pazuri ni kama kipara sasa upepo unaanza kata vile zile shinda goli 4+ hakuna...

Nimefuatilia ma pundits wengi ambao wapo neutral wanasema ile penati ya Arsenal wamenyimwa ndugu. Kwamba iweje ya Bernado ashauriwe akatazame Tv ya pembeni mwa uwanja lakini ya Arsenal hakushauriwe wakati inaonekana Enderson hakugusa mpira.. Unakumbuka ile mechi ya Liverpool vs Tottenham haya yalitukuta Kane alimchezea rafu mbaya Robertson lakini VAR haikusema refa akatazame mwenyewe ajiridhishe kama ni kadi nyekudu ama ala hivyo haya matukio baada ya gemu yakija kuchambulia yanaonyesha refa hakua neural kufanya maamuzi fair. Matukio ni mengi sana kwa mfano Rodri alicheza rafu mbili za kupewa kadi lakini hakupewa hata moja ndio maswali yana trend...

Penalty ya Bernado hata bila kushikwa jezi dogo alikua tayari anakwenda chini hivyo nadhani pale refa alitazame Grant kumshika jezi dogo kama ndio alimvuta aanguke eneo la hatari...

Gabriel kadi za kijinga alipata nadhani na kukosa uzoefu pia kulimchanganya. Hana wa kumlaumu pale.

Hata hivyo ushindi wako hauna shaka ni ushindi wa kibingwa kabisa. Ni dhahiri bado Manchester City is the team to beat.

Arsenal jana wamewap a proper game sio yale mazoea kuwachapaga mengi jana they meant business na walikua na nafasi kama 3 za kumaliza ile gemu wakachemka ile kosa ya Martineli alivyookoa Ake sio ya kukosa kabisaaaa...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom