Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Chelsea fans :

We are Winning the League
We are winning the Leag
we are winning the Le
We are Winning the
We are winning
We are w
We are
We
We are
We are Play…
We are Playing
We are Playing for
We are Playing for top
We are playing for top 4 [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Game ya kwanza dhidi ya Norwich City hawajaweka hapo, alifunga goli la 3 dakika ya 74, ndo linakamilisha magoli 15 mpaka sasa.
Hii omicron itakua inaathiri hata vifaa vya kielektroniki, kwenye draw ya mtoano UEFA kulikua na ushenzi kama huu pia
 
Nyie bado ni matakataka tu hata Kama munashinda lakini Nina hakika sisi bado tutamaliza ligi juu yenu ..apo kwenye kubeba ubingwa nilijipa uhakika Ila saivi mmmh mambo magumu aise ..lakini sisi bado ni mabingwa bana 😀😀 ngoja tuwape wape eya taimu kidogo muruke ruke ili angalau musikose hata top four ..wakati mabingwa wapya tunatawazwa hapo May.

In God We Trust. Unajua sisi Chelsea ni Watoto Wa Mungu ivyo tunatingishwa kidogo ili kupimwa Imani yetu lakini ilishatabiriwa kitambo kinyama kuwa Bingwa "atatoka upande wa kaskazini"😊

Hivyo nyie endeleeni kuamini kwamba muña timu ya kubeba ubingwa hamujui kwamba mpira ni sayansi.

#CFC💙💙💙
 
Nyie bado ni matakataka tu hata Kama munashinda lakini Nina hakika sisi bado tutamaliza ligi juu yenu ..apo kwenye kubeba ubingwa nilijipa uhakika Ila saivi mmmh mambo magumu aise ..lakini sisi bado ni mabingwa bana [emoji3][emoji3] ngoja tuwape wape eya taimu kidogo muruke ruke ili angalau musikose hata top four ..wakati mabingwa wapya tunatawazwa hapo May.

In God We Trust. Unajua sisi Chelsea ni Watoto Wa Mungu ivyo tunatingishwa kidogo ili kupimwa Imani yetu lakini ilishatabiriwa kitambo kinyama kuwa Bingwa "atatoka upande wa kaskazini"[emoji4]

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Nauza screenshot ya Chelsea wakiwa wanaongoza league. Nauza kwa Dola 100 tu. If you're interested please inbox me.
 
Nyie bado ni matakataka tu hata Kama munashinda lakini Nina hakika sisi bado tutamaliza ligi juu yenu ..apo kwenye kubeba ubingwa nilijipa uhakika Ila saivi mmmh mambo magumu aise ..lakini sisi bado ni mabingwa bana [emoji3][emoji3] ngoja tuwape wape eya taimu kidogo muruke ruke ili angalau musikose hata top four ..wakati mabingwa wapya tunatawazwa hapo May.

In God We Trust. Unajua sisi Chelsea ni Watoto Wa Mungu ivyo tunatingishwa kidogo ili kupimwa Imani yetu lakini ilishatabiriwa kitambo kinyama kuwa Bingwa "atatoka upande wa kaskazini"[emoji4]

Hivyo nyie endeleeni kuamini kwamba muña timu ya kubeba ubingwa hamujui kwamba mpira ni sayansi.

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Wewe naye na timu lako bovu hilo bado una ndoto za kubeba ubingwa[emoji23]?
 
Nyie bado ni matakataka tu hata Kama munashinda lakini Nina hakika sisi bado tutamaliza ligi juu yenu ..apo kwenye kubeba ubingwa nilijipa uhakika Ila saivi mmmh mambo magumu aise ..lakini sisi bado ni mabingwa bana [emoji3][emoji3] ngoja tuwape wape eya taimu kidogo muruke ruke ili angalau musikose hata top four ..wakati mabingwa wapya tunatawazwa hapo May.

In God We Trust. Unajua sisi Chelsea ni Watoto Wa Mungu ivyo tunatingishwa kidogo ili kupimwa Imani yetu lakini ilishatabiriwa kitambo kinyama kuwa Bingwa "atatoka upande wa kaskazini"[emoji4]

Hivyo nyie endeleeni kuamini kwamba muña timu ya kubeba ubingwa hamujui kwamba mpira ni sayansi.

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie bado ni matakataka tu hata Kama munashinda lakini Nina hakika sisi bado tutamaliza ligi juu yenu ..apo kwenye kubeba ubingwa nilijipa uhakika Ila saivi mmmh mambo magumu aise ..lakini sisi bado ni mabingwa bana [emoji3][emoji3] ngoja tuwape wape eya taimu kidogo muruke ruke ili angalau musikose hata top four ..wakati mabingwa wapya tunatawazwa hapo May.

In God We Trust. Unajua sisi Chelsea ni Watoto Wa Mungu ivyo tunatingishwa kidogo ili kupimwa Imani yetu lakini ilishatabiriwa kitambo kinyama kuwa Bingwa "atatoka upande wa kaskazini"[emoji4]

Hivyo nyie endeleeni kuamini kwamba muña timu ya kubeba ubingwa hamujui kwamba mpira ni sayansi.

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Unaotaa mchana,Subiri usiku Ulale ukiotaa urudi jukwaaani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom