Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu kwenye game ya wolves nimeona hii 6-3-2.

Hapo mpaka upate goli labda uwe unaharakisha mpira bila hivyo sare au unafungwa.

Nadhani walikuja bila tahadhari.


Hiyo imekuwa mbadala kwa timu inayoshambulia sana
Yule kocha wa Wolverhampton Wanderers namwelewa sana ile timu kaisuka upyaaa...

6 3 2 hahaha bad news...

YNWA
 
Conte ameshatujulia aisee khaaa sio kosa kosa hizi....

We are weak pale kati we are weak on the back leo uvumilivu unahitaji sana ilo tusipoteze mipira hovyo kuzuia hizi kaunta zao..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom