Bangi za Chief Hangaya unataka kuzileta huku?Hii timu inatibu harara chunusi bawasili na kirusi kipya omicron
Siempre Liverpool
Wewe huiogopi Chelsea [emoji1787].... Leo mmevutwa kende na Everton... Hiyo ni trela bado picha la kutisha linakuja... HahahhahahhahahCheki hii takataka inaropoka ropoka tu bila kutumia akili [emoji23][emoji23][emoji1787]
Salah amekua hatari kuliko bomu la nyuklia
Nasubiri mkuuHahaha Steven Gerrard alijukana zaidi kama Mr. Liverpool maana muda mwingi alisimama yeye kupambana na kuwahamashisha wengine aisee...
Powaa baadae utapata.
YNWA
[emoji173][emoji91]
I miss you [emoji3590]Babe[emoji173]
I don't understandBangi za Chief Hangaya unataka kuzileta huku?
Shindwa kwa jina la yesu
Dogo alipiga bonge la goli.