Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Fabinho akiwa na super agent Jorge Mendes
YNWA
YNWA
Aisee


Wamependeza

Timu yeyote iliyo against Chelsea ni takataka tu. Hivyo ukishabikia takataka lazima na wewe uwe takataka 😀😀Naona frustration zinaanza kukufanya ukose heshima
Hakuna kop aliye takataka
Hata wewe sio takataka… but if you want us to treat you like one , we can
If you can’t respect our forum… go back to your zoo
Boost your forms , it has a very low traffic
Anahamiaje timu bovu hiloTimu yeyote iliyo against Chelsea ni takataka tu. Hivyo ukishabikia takataka lazima na wewe uwe takataka
Basi ili usiwe takataka Basi karibu Sana Darajani pale Stamford Bridge ili uvikwe cheo Cha u royal uachane na utakataka mkuu
Enewei ni hayo tu mkuu ..ni mpira tu boss usimind Sana
#CFC![]()



Hatari sana aiseee.Hahaha wapo![]()
![]()
sana.
YNWA




Hahaha Steven Gerrard alijukana zaidi kama Mr. Liverpool maana muda mwingi alisimama yeye kupambana na kuwahamashisha wengine aisee...Hatari sana aiseee.
Leo naomba kabla hatujaendelea sana,natamani unipe nondo za mwamba aliyenifanya niipende liverpool,mtu mzito Steven Gerrard![]()
Jamaa ana mke kisu hasaaLeo tupo the Samba Baldest Boy..
Alizaliwa tarehe 23/10/93 na kupewa majina Fabio Henrique Tavares. Alizaliwa Campinas Sao Paulo, Brazil. Hufahmika kwa kifupi kwa jina la Fabinho.
Amezaliwa akiwa wa mwisho kati ya watoto watatu. Wakiwa wadada wawili.
Wazazi wake ni Baba Jouo Roberto Tavares na Mamake ni Rosangela Tavares.
Alianza safari yake ya mpira akiwa na miaka 7 katika timu ya kitaa ya Paulinia FC.
Alikua anacheza jioni baada ya kutoka shule na kocha wake aliona bidii na kujituma kwake hivyo tangu mdogo alimtabiria makubwa sana kwenye safari yake ya kucheza mpira.
Akiwa na miaka 12 alikwenda kufanya majiribio timu ya vijana ya Fluiminense.
Pale Fluiminense alimkuta Marcelo wa Real Madrid na chini yake alikua pia Richarlison wa Everton.
Baada alijunga na klabu ya wakubwa pale Fluiminense.
Kwa alionyesha kiwango cha juu mapema alijiunga na klabu ya Rio Ave ya Ureno.
Akiwa Ureno alibahatika kukutana na wakala machachari Jorge Mendes. Tangu hapo akawa mshauri wake na wakala wake.
Jorge Mendes alimshauri ajiunge na Timu ya Vijana pale Real Madrid ili apate mahala sahihi penye mazingira safi kukuza kipaji chake. Kingine pia Kocha wa timu ya wakubwa pale Real Madrid kipindi hicho alikua Jose Mourinho ambae pia anawakilishwa na Jorge Mendes hivyo wakala wake aliona dogo angepata kuchezea timu ya wakubwa kwa muda mfupi sana.
Kwa bahati mbaya sana Jose Mourinho alifukuzwa kazi pale Real Madrid kabla dogo hajapandishwa ramsi timu ya wakubwa. Pale Real Madrid alicheza mechi moja tu timu ya wakubwa.
Baada ya Mourinho kuodoka wakala Jorge alimshauri dogo ahamie Monaco kwa mkopo na baadae wakamsajili.
Pale Monaco dogo Fabinho alijituma sana na kufanya timu kubwa zimfuatilie wakihitaji kumsajili. Baadhi ya timu hizo ni Rea Madrid na Manchester United kocha wao akiwa Mourinho.
Tarehe 28/5/2018 Liverpool walitangaza rasmi kufikia makumbaliano na Monaco ya kumnunua Fabinho kwa £39m. Alijunga ramsi na Liverpool 1/7/2018.
Historia yake mpira ni kama ifuatavyo
*2012 Fluiminense
*2012 2015 Rio Ave Ureno
*2013 Real Madrid Vijana mkopo.
*2013 Real Madrid wakubwa mkopo.
*2013 2015 Monaco(mkopo wa misimu miwili baadae wakamnunua)
*2018 mpaka sasa Liverpool.
Pale Monaco alicheza mechi 233 na kufunga magoli 31.
Akiwa Liverpool ameshinda
*UCl 2018 2019
*Super Cup 2019
- World Club Cup 2019.
- EPL Trophy 2019 2020.
Ana majina mengi tu ya nick names
*Mr Reliable
*The Hoover.
- The Lighthouse
- The Sweeper
Key Point Fabinho.
* Anacheza Kiungo mzuiaji, Beki wa kati kushoto, beki wa kati Kulia pia Beki wa Kulia.
* Pindi TAA na Robertson wanashambulia huyu dogo hucheza kama Beki wa Kulia ama Beki wa Kushoto.
*Alikutana na mpenzi wake Rebecca Tavares mwaka 2013 na akafunga nae ndoa mwaka 2015.
*Amecheza mechi 22 timu ya Taifa Brazil.
* Hakucheza gemu pale Rio Ave Ureno.
* alisubiri mpaka 18/9/18 kucheza mechi yake ya kwanza Liverpool vs PSG.
*Alifunga goli lake la kwanza Liverpool vs Newcastle 26/12/18 akipewa assist na Salah dakika ya 85.
* Amecheza mechi 140 Liverpool kufunga goli 4 na kutoa assist 7.
* Ana mkataba Liverpool mpaka 30/6/2026 akilipwa mshahara wa £180,000 kwa wiki.
YNWA
Hakika alitulia kuchagua huyu bibie mpaka Ollachuga Oc kapagawa anamuita mdhungu 😎😎😎...Jamaa ana mke kisu hasaa