Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Vilabu vinavyoshiriki Ligi Kuu England vimeingia hofu ya msimu huu kufutwa na sababu kubwa ikiwa ni kusambaa kwa kasi kwa virusi vya Omicron huku utoaji chanjo kwa wachezaji ukiwa unaenda taratibu.Usiku wa jana zilipatikana kesi 42 za virusi hivyo ikiwa ni rekodi kubwa kwa wiki
 
Cheki hii takataka inaropoka ropoka tu bila kutumia akili 😂😂🤣
Naona frustration zinaanza kukufanya ukose heshima

Hakuna kop aliye takataka

Hata wewe sio takataka… but if you want us to treat you like one , we can

If you can’t respect our forum… go back to your zoo

Boost your forms , it has a very low traffic
 
Achana nae huyo mkuu tumesha mzoea hata akibondwa huko anatuita takataka hivyohivyo na hata akishuka daraja ataendelea kutuita hivyohivyo, alafu tim lake nowdays limepwaaaaaya.
 
Leo tupo the Samba Baldest Boy..

Alizaliwa tarehe 23/10/93 na kupewa majina Fabio Henrique Tavares. Alizaliwa Campinas Sao Paulo, Brazil. Hufahmika kwa kifupi kwa jina la Fabinho.

Amezaliwa akiwa wa mwisho kati ya watoto watatu. Wakiwa wadada wawili.

Wazazi wake ni Baba Jouo Roberto Tavares na Mamake ni Rosangela Tavares.

Alianza safari yake ya mpira akiwa na miaka 7 katika timu ya kitaa ya Paulinia FC.

Alikua anacheza jioni baada ya kutoka shule na kocha wake aliona bidii na kujituma kwake hivyo tangu mdogo alimtabiria makubwa sana kwenye safari yake ya kucheza mpira.

Akiwa na miaka 12 alikwenda kufanya majiribio timu ya vijana ya Fluiminense.

Pale Fluiminense alimkuta Marcelo wa Real Madrid na chini yake alikua pia Richarlison wa Everton.

Baada alijunga na klabu ya wakubwa pale Fluiminense.

Kwa alionyesha kiwango cha juu mapema alijiunga na klabu ya Rio Ave ya Ureno.

Akiwa Ureno alibahatika kukutana na wakala machachari Jorge Mendes. Tangu hapo akawa mshauri wake na wakala wake.

Jorge Mendes alimshauri ajiunge na Timu ya Vijana pale Real Madrid ili apate mahala sahihi penye mazingira safi kukuza kipaji chake. Kingine pia Kocha wa timu ya wakubwa pale Real Madrid kipindi hicho alikua Jose Mourinho ambae pia anawakilishwa na Jorge Mendes hivyo wakala wake aliona dogo angepata kuchezea timu ya wakubwa kwa muda mfupi sana.

Kwa bahati mbaya sana Jose Mourinho alifukuzwa kazi pale Real Madrid kabla dogo hajapandishwa ramsi timu ya wakubwa. Pale Real Madrid alicheza mechi moja tu timu ya wakubwa.

Baada ya Mourinho kuodoka wakala Jorge alimshauri dogo ahamie Monaco kwa mkopo na baadae wakamsajili.

Pale Monaco dogo Fabinho alijituma sana na kufanya timu kubwa zimfuatilie wakihitaji kumsajili. Baadhi ya timu hizo ni Rea Madrid na Manchester United kocha wao akiwa Mourinho.

Tarehe 28/5/2018 Liverpool walitangaza rasmi kufikia makumbaliano na Monaco ya kumnunua Fabinho kwa £39m. Alijunga ramsi na Liverpool 1/7/2018.

Historia yake mpira ni kama ifuatavyo
*2012 Fluiminense
*2012 2015 Rio Ave Ureno
*2013 Real Madrid Vijana mkopo.
*2013 Real Madrid wakubwa mkopo.
*2013 2015 Monaco(mkopo wa misimu miwili baadae wakamnunua)
*2018 mpaka sasa Liverpool.

Pale Monaco alicheza mechi 233 na kufunga magoli 31.

Akiwa Liverpool ameshinda
*UCl 2018 2019
*Super Cup 2019
  • World Club Cup 2019.
  • EPL Trophy 2019 2020.

Ana majina mengi tu ya nick names
*Mr Reliable
*The Hoover.
* The Lighthouse
* The Sweeper

Key Point Fabinho.
* Anacheza Kiungo mzuiaji, Beki wa kati kushoto, beki wa kati Kulia pia Beki wa Kulia.

* Pindi TAA na Robertson wanashambulia huyu dogo hucheza kama Beki wa Kulia ama Beki wa Kushoto.

*Alikutana na mpenzi wake Rebecca Tavares mwaka 2013 na akafunga nae ndoa mwaka 2015.

*Amecheza mechi 22 timu ya Taifa Brazil.

* Hakucheza gemu pale Rio Ave Ureno.

* alisubiri mpaka 18/9/18 kucheza mechi yake ya kwanza Liverpool vs PSG.

*Alifunga goli lake la kwanza Liverpool vs Newcastle 26/12/18 akipewa assist na Salah dakika ya 85.

* Amecheza mechi 140 Liverpool kufunga goli 4 na kutoa assist 7.

* Ana mkataba Liverpool mpaka 30/6/2026 akilipwa mshahara wa £180,000 kwa wiki.

YNWA
 
  • The Lighthouse
  • The Sweeper

Nice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom