Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Kwani ww hujapewa penalty?Wewe hiyo penalty uliyopewa mshukuru Mungu ,vinginevyo usingepata nguvu ya kuingia humu ndani
Aston Villa kawakamata kila angle..

Mechi umeangalia kweli??Wewe hiyo penalty uliyopewa mshukuru Mungu ,vinginevyo usingepata nguvu ya kuingia humu ndani
Aston Villa kawakamata kila angle..
Babe

Mkuu natamani uendelee na nondo moja leo japo ya matip au Fabinho.MosDef njoo huku unahitajika.
YNWA
Ila huyu Jurgen ni habari nyingine aiseeAna muda wa kutosha kabisa kujiweka sawa aisee.
Let's say Klopp hataongeza tena mkataba come 2024 basi itakua ni muda mwafaka wa kumpata mridhi kipindi hicho na bila shaka Steve G atakua high on the list...
Kama vipi tubaki na msaidizi wa Klopp Pep Lijnders haha huyu ni Klopp in out.
Muda utasema kijana wetu mkongwe aka the Supreme Legend atakua kaiva vipi ikifika 2024.
YNWA

Wanamipango gani zaidi ya kukamia tuvAston villa wako vizuri
Hello Family.
As we approach X - Mass, I would like to take this opportunity to thank you guys for keeping this forum (family) active, in one or more ways this thread has been all to me, you guys are awesome.
There are times I almost lost it, but the theme You Will Never Walk Alone made the meaning, you all supported me in one or more ways to get to this, thank you guys.
NOTE: Nitatoa jezi tatu kwa members tofauti Xmass hii (jezi kwa bei za Kariakoo 25,000/- to 35,000/-), first come first serve basis. Unachotakiwa ni ku-quote hii post kwamba unahitaji jezi hiyo, watu wa tatu wa mwanzo ndo watakao pata. Tutajadili size na wahusika na
namna ya kufikiana.
Again, thank you guys.
YNWA
Mkuu nahitaji jezi hii
A true kop
Size XXL

Nahitaji jezi hii kop, size XXL, nipo Mwanza
Utapata mzee baba, Mwanza mjini right?
Yap mjin kati
Nam pia mkuu nahtaj hi jezHello Family.
As we approach X - Mass, I would like to take this opportunity to thank you guys for keeping this forum (family) active, in one or more ways this thread has been all to me, you guys are awesome.
There are times I almost lost it, but the theme You Will Never Walk Alone made the meaning, you all supported me in one or more ways to get to this, thank you guys.
NOTE: Nitatoa jezi tatu kwa members tofauti Xmass hii (jezi kwa bei za Kariakoo 25,000/- to 35,000/-), first come first serve basis. Unachotakiwa ni ku-quote hii post kwamba unahitaji jezi hiyo, watu wa tatu wa mwanzo ndo watakao pata. Tutajadili size na wahusika na
namna ya kufikiana.
Again, thank you guys.
YNWA
Unaishi wapi mkuu?
Kafunga goli jana ila kazingua, kawa mchoyo kizembe sana,
Japo nimechelewa ila naomba nifikirie nami Nipo Arusha navaa XXLHello Family.