Sisi tukianza ushindi tutavululiza game Kama 15 Hivi ni kushinda tu. Tumeanza kwa Leeds ..angalia Moto tutakaopeleka Hadi ligi imalizike lazima mojawapo ya kombe Kati ya EPL au/na uefa tunyanyue mzee[emoji3][emoji3]
Sisi tumepata injuries wachezaji wa muhimu Sana..nyie tuseme akiumia salah au vvd tu so mutapoteana kabisa. Imagine wachezaji karibu nane wa kikosi cha Kwanza wote majeruhi
Tukimaliza hii desemba salama ..bas nawahakikishia mujiandae kisaikolojia hapo May [emoji3][emoji3]
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]