Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Sina shaka kabisa na kikosi kwenye UEFA, 8 Bora tunapita, yaani kufika robo ni 3.14 hata kama waje PSG
Mzeee psg wakikuamkia vzuri ,hutaamini mzeee kwenye football kauli za nanma hii huwa huwezi zikuta kwa watu wenye akili timamu wanaofuatili na kuaangalia mpira ....!

Match ni February ,unajua Liverpool atakuwa na form gani ?...

Unajua namna timu zitakuwa zimejijenga mpaka February ?


Psg alimtoa buyern mwaka Jana ,tena alikuwa kwenye form buyern ....

Niseme tu ukishafika knock out stage ,usijiamini 100%
 
Hello Family.

As we approach X - Mass, I would like to take this opportunity to thank you guys for keeping this forum (family) active, in one or more ways this thread has been all to me, you guys are awesome.

There are times I almost lost it, but the theme You Will Never Walk Alone made the meaning, you all supported me in one or more ways to get to this, thank you guys.

NOTE: Nitatoa jezi tatu kwa members tofauti Xmass hii (jezi kwa bei za Kariakoo 25,000/- to 35,000/-), first come first serve basis. Unachotakiwa ni ku-quote hii post kwamba unahitaji jezi hiyo, watu wa tatu wa mwanzo ndo watakao pata. Tutajadili size na wahusika na
namna ya kufikiana.

Again, thank you guys.

YNWA
Don bro mimi naitaka hiyo jezi bana inabidi uongeze nafasi moja ya upendeleo 😂😂.

I hope all is well kaka.
 
Wee jamaa hua unapagawa sana yaaani kwamba sisi hatujapata majeruhi ama. Hivi kaskazini wanakupa nini ndugu.

Acha visingizio uchwara yaaani baada ya Moyes kukulegeza unatafuta visingizio sasa utulie sidano iingie uwezo wako ndio huo wa sasa. Gemu 4 bila ushindi kabla ya jana haha hapana chezea UCL na Epl wewe.

Acha ubao wa msimamo wa EPL uongee hatutaki kelele wala nini.

YNWA
Sisi tukianza ushindi tutavululiza game Kama 15 Hivi ni kushinda tu. Tumeanza kwa Leeds ..angalia Moto tutakaopeleka Hadi ligi imalizike lazima mojawapo ya kombe Kati ya EPL au/na uefa tunyanyue mzee😀😀

Sisi tumepata injuries wachezaji wa muhimu Sana..nyie tuseme akiumia salah au vvd tu so mutapoteana kabisa. Imagine wachezaji karibu nane wa kikosi cha Kwanza wote majeruhi
Tukimaliza hii desemba salama ..bas nawahakikishia mujiandae kisaikolojia hapo May 😀😀

#CFC💙💙💙
 
Hili li timu hata nikipewa ten million nilishabikie ..aise nakataa iyo ngawira wazi wazi kwa jinsi navyochukia hili li timu litakataka kabisa ushindi wa kubebwa bila penati ninyi kuku hamushindi kabisa.
#CFC💙💙💙
 
Sisi tukianza ushindi tutavululiza game Kama 15 Hivi ni kushinda tu. Tumeanza kwa Leeds ..angalia Moto tutakaopeleka Hadi ligi imalizike lazima mojawapo ya kombe Kati ya EPL au/na uefa tunyanyue mzee

Sisi tumepata injuries wachezaji wa muhimu Sana..nyie tuseme akiumia salah au vvd tu so mutapoteana kabisa. Imagine wachezaji karibu nane wa kikosi cha Kwanza wote majeruhi
Tukimaliza hii desemba salama ..bas nawahakikishia mujiandae kisaikolojia hapo May

#CFC
Mwaka jana tulikuwa na majeruhi karibia nusu ya kikosi chote ila tulimaliza above nyie
 
Don bro mimi naitaka hiyo jezi bana inabidi uongeze nafasi moja ya upendeleo 😂😂.

I hope all is well kaka.
Achana na hii livakuku wewe😀😀 ..chukua uzi mkali kuliko wote, Uzi unakimbiza kwa uzuri na kwa ubora Uzi wa mabingwa wa Ulaya kwa misimu mitano ijayo mfululizo ..#TheBlues hakika hutojutia pesa yako kuvaa Brand kubwa Kama ya Chelsea.
#CFC💙💙💙
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom