Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie ni matakataka tu na hii desemba hamtoboi salama nawahakikishia.
Umeona moto tunaopeleka sisi Chelsea?
japo tuna majeruhi lakini vipigo tunagawa kisawa sawa.
Rukeni rukeni tu Kama mahindi ya popcorn ..mukishaiva kitapoa tu.
#CFC

Si mnasemaga mna kikosi kipana,Kumbe na nyinyi mnakikosi kimoja tu?.

Timu yenu pumzi imekata sasa hivi kila mechi mnarususu goli, hamna tena uhakika wa kushinda.

Majeruhi mlionao tatizo ni la nani? Acha kulialia mwanamke wewe.
 
Mkuu
Naona kipara ameshaanza kupang'ang'ania pale juu .
Bwana wee jana kakamatika aisee.

Kipara sijui ni baridi na mvua naona kama spidi kwake imeanza kata. Hata hivyo Bruno Lage kocha wa Wolverhampton yupo makini sana. Kwa kuzuia kipara wakiwa pungufu vile sio kazi rahisi.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Mkuu natamani uendelee na nondo moja leo japo ya matip au Fabinho.
Leo tupo na Bobby the Engine.

Amezaliwa Brazil Mji wa Maceio. Alizaliwa 2/10/1991. Majina yake ni Roberto Firmino Barbosa de Oliveria.

Wazazi wake ni Baba Jose Roberto na mamake mzazi ni Mariana Cicera Barbosa de Oliveira.

Wazazi wake walikua na maskini sana.

Alizaliwa mtaa uliojaa uhuni wote wauza madawa na wezi wa silaha kali hivyo kwa kutambua hilo wazazi wake walikua wakali sana kwake kumlinda asije ungana na wahuni hao.

Tangu akiwa mdogo alipenda sana kucheza mpira.

Akiwa mdogo alichonga ufunguo wa bandia ili alfajiri awe anatoroka mapema sana kwenda kucheza mpira wa kitaa akiwa peku peku na japo wazazi wake walikua wakali sana majirani walimtetea na kusema waache afuate ndoto yake ya kucheza mpira.

Akiwa anacheza kitaa Marcellus Portella Daktari wa meno alimuona na kumpelea klabu ya kitaa ya CRB. Hapa alikutana na kocha wa kwanza Luiz Guiherme de Forious. Huyu kocha alimjenga sana dogo na baada ya kuona ana kipaji akamnunuliwa jezi na jumu zake za kwanza. Firmino alikua akifika nyumbani analala amekumbatia mpira.

Alidumu pale CRB kwa miaka minne na baadae akahamia Tombense ambao waliomtoa kwa mkopo timu ya Figueirense. Hii ilikua umbali wa maili 2,600 kutoka nyumbani kwao. Ilifika mahala wazazi wakata arudi nyumbani lakini hawakua na nauli yakumtumia arudi. Hapa alidumu miaka 3. Akianza timu ya vijana kabla ya kucheza timu ya wakubwa kuanzia 2009 mpaka 2011. Hii klabu ilikua inashiriki ligi daraja la pili Brazil na baadae wakapanda ligu kuu Brazil.

Akiwa pale Figueirense alikua anajituma sana akicheza nafasi zote kuanzia MF na Forward. Scout kutoka Ujeremani alivutiwa na kipaji chake na kumchukua kwenda nae Ujeremani. Pale Ujeremani alijiunga na klabu ya 1889 Hoffenheim December 2010 alicheza mpaka mwaka 2015.

Mwaka 2015 akiwa anacheza mechi za Kimataifa klabu yake ya 1889 Hoffenheim na Liverpool ziliafikiana bei ya £29m na Roberto Firmino akatua Liverpool tarehe 4/7/15 baada ya mazungumzo kumalizika na kufanya vipimo vya afya.

Alisajiliwa Liverpool na kocha Rodgers.

Klopp alivyotua Liverpool ndio akambadilisha kua false 9 na tangu hapo Klopp akasema Bobby Firmino ndio injini ya timu yake kwa uchezaji wake wa kutokua mbinafsi, kushuka chini kuanzisha mashambulizi, pia ndio wa kwanza kusiadia timu kuzuia kutoka eneo la mbele nk

Akiwa Liverpool ameshnda
*Champions League 2018 2019
* Europe Super Cup 2019
*World Club Cup 2019
* EPL trophy 2019.

* Amecheza mechi 303 Liverpool akifunga magoli 93. Pia ndio anashika rekodi ya Mchezaji kutoka Brazil aliefunga magoli mengi zaidi hapa Uingereza.

* Amecheza mechi 55 akifunga magoli 17 Timu yake ya Taifa Brazil. Alicheza mechi yake ya kwanza mwaka 2014. Ameshnda Copa America moja.

* Alivyosajiliwa Ujeremani na baada ya kupata nyumba aliwafuata wazazi wake na kuwaambia hawatafanya tena kazi kwa vile tayari ana mshahara wa kutosha mahitaji yao.

* Tarehe 19/1/19 Anfield ,alifunga goli la 1000 kwa Klabu Ya Liverpool tangu EPL imeanzishwa.

* Anaongea Kingereza, Kijeremani na Kireno.

* Msimu wake wa kwanza alikua mfungaji bora wa Liverpool.

* Anacheza Attacking Midfield, Forward, Central Midfield. Anatumia miguu yote miwili na sana sana mguu wa kulia.

* Anasafika kwa magoli yake no look akifunga bila kuangalia.

2004 2008 youth CRB
2008 2009 youth Figueirense
2009 2010 Figueirense senior team
2011 2015 1889 Hoffenheim
2015 to date Liverpool.

Maisha Binafsi.

* Akiwa Klabu ya Usiku Brazil alikutana na mwanamtindo Larissa Periera mwaka 2013.

* mwaka 2017 walifunga ndoa Maceio Brazil iliyohudhuriwa na mastaa wengi wakiwemo Lucas Leiva, Allan Souza, Coutinho nk

* Wamebarikiwa watoto wawili wa kike, Valentina Firmino na Bella Firmino.

* Moja ya tattoo yake inasema "Family Never Ending Love" na nyingine inasema "God is Faithful".. Tattoo nyingine ina picha ya mamake na familia yake.

* Anapedelea kuvaa vizuri akiwa na Mkewe, wote ni maarufu sana Brazil kwa sababu ya bling bling wanazotupia.

* Anapendelea magari yenye spidi kali kama Ferrari 485 Italia, Range Rover Sport, Porsche nk.

* Ana mkataba Liverpool mpaka June 2023 akilipwa mshahara wa £180,000 kwa wiki.

* Ana mkataba Liverpool mpaka June 2023 akilipwa mshahara wa £180,000.

YNWA
Mkuu Brazil mtoto huchukua jina la ukoo wa mama??
 
Muda mwingi anakuwa na mpira kwenye box halafu anashindwa cha kufanya.
Nimetafakali kwa kina wachezaji wetu pale mbele naona ni maelekezo ya mwalimu.

Kwa mfano jana uliona Klopp akimpa Big Up Salah wakati alivyojaribu kufunga huku TAA akiwa ame ova lap kupokea pasi yake nadhani kama mara mbili hivi.

Klopp alionyesha kukumbali zile shots.

Zipo tetesi kwamba makocha wengi hu demand shot on target 5 + kwenda juu kwa ma strika wao na sisi Liverpool main strika ni Salah. Ukute Klopp anahusika na hili la Salah, Jota Mane wao kuwaza kufunga tu.

Aisee
Wachezaji wengi ni wapambanaji na wanajua walikotoka ndiyo maana wanajituma sana na wanajua wanachofanya.
 
Nimetafakali kwa kina wachezaji wetu pale mbele naona ni maelekezo ya mwalimu.

Kwa mfano jana uliona Klopp akimpa Big Up Salah wakati alivyojaribu kufunga huku TAA akiwa ame ova lap kupokea pasi yake nadhani kama mara mbili hivi.

Klopp alionyesha kukumbali zile shots.

Zipo tetesi kwamba makocha wengi hu demand shot on target 5 + kwenda juu kwa ma strika wao na sisi Liverpool main strika ni Salah. Ukute Klopp anahusika na hili la Salah, Jota Mane wao kuwaza kufunga tu.

YNWA
Na kuna muda Mane amejaribu kufunga akiwa mbali na wakati alikuwa na uwezo wa kumpasia mwenzie Salah pembeni.

Jana nimeona Salah anajaribu kufunga na wakati TAA yupo tayari kupokea mpira amalizie na Klop kweli aliappreciate hicho kitendo.

Ngoja mtaalam MosDef aje atoe maoni yake kuhusu hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom