Sisi chelseafc ubingwa unatufuata chochote kinachotokea kina sababu keep it in your mindNi kweli mkuu upande wa TAA hua unapwaya sana tunavyoshambuliwa na pia kwenye kona ama set piece inaonekana dogo sijui ni muoga wa kuokoa na kichwa ama niaje tazama gemu ya Brentford na leo utaona hioa weakness laivu bila chenga...
Kwenye mpira lazima hawa wachezaji waelewe umuhimu wa kuchukua fursa kadri wawezavyo tazama hapa Chelsea alitangulia kucheza na alipigwa na Manchester City nilitarajia basi wachezaji wetu wawe na uchu na pointi 3 mechi dhidi ya Brentford lakini tuliambulia sare huku tukiwa na sala kama zote mechi iishe,... Leo tena tulikua na matokeo ya Chelsea ku draw na Burnley jana tulikua nayo lakini badala ma dogo wakomae kupunguza utofauti wa pointi na kinara ndio kwanza wanakwenda kufungwo very easy goals London Stadium..
In life when opportunities kama ya leo inavyokua we got to grab the day and ran away with the 3 points period...
YNWA
Hawawezi kuelewa hawa kunguni...Sisi chelseafc ubingwa unatufuata chochote kinachotokea kina sababu keep it in your mind
Kombe ni la Chelsea wewe na man city mtagombea nafasi ya pili na tatuKabisa ndugu Pep kukaaa kileleni anakua hana nafasi ya uzembe kama huu wetu yaani pale wachezaji wanapofanya sivyo basi mechi ijayo wanakula benchi haha sasa kwa Liverpool hata kama Klopp anatamani awapumzishe je atampanga nani maana ana benchi limepwaya mno..
Natarajia Klopp na jopo lake la walimu watakaa kuangalia marudio mechi zote muhimu tulivyokosa utulivu na kutoa sare na hii ya leo na bila shaka wataona wapi penye kuhitaji maboresho maana lazima kazi ifanyike mazoezini ibakie utekelezaji uwanjani...
Nyt nyt
YNWA
😂😂Rudi jukwaa pendwa mkuu au nikupe code [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hio mkuu umemaanisha Westham waliwapakia Mundende?Wachezaji wa Westham wapimwe kama wanatumia dawa ya kuongeza nguvu haiwezekani[emoji36][emoji36]
Unawafuata wakati mmetolewa jasho juzi?Sisi chelseafc ubingwa unatufuata chochote kinachotokea kina sababu keep it in your mind
Tuliajiri Setpiece specialist lakini sijui anafanyia nini pale Liverpool! Huyu atimuliwe akatafute kazi nyengine afanye.
Ukiangalia uhalisia wa hii Faulo utagundua hii Picha ina mislead.
Naked truth the better team won.Hapa umeongea kimpira na si kishabiki. Akili imeanza kuwakaa sawa. Narudia kusema kwenye mpira kila timu inaingia kupata point tatu. Lakini anaezidiwa mbinu hupoteza points akiwa sawa kimbinu wanagawana point.
Hakuna timu yoyote duniani inayoingia uwanjani kutafuta point zero 0 hakuna. So Jana West ham wamewazidi mkalambwa. Mjipange kwa mechi ijayo. Baada ya break
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Come Mei 2022 may the best prepared team win.Sisi chelseafc ubingwa unatufuata chochote kinachotokea kina sababu keep it in your mind