Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee kipigo kilikuwa kinanukia tu tangu gemu ya Brighton
Kabisa... Hii ni wake up call kabisa kwa Klopp pale kati tunakua too soft... The moment we lost the ball Westham waliwaza tu kupiga mpira mbele mazima..

Hivi bila wachezaji sahihi hii 4 3 3 naona kama tutakua na very patchy days ahead yaaani sometimes yes sometimes no...

Fabinho hawezi kuzuia mipira isifike kwa mabeki peke yake lazima apata msaada a pia wachezaji kupoteza mipira hovyo yaaani...

YNWA
 
Hahaha hili timu letu bhanaa hahaha ..akishabanwa Salah tu Basi hatuna pa kutokea..

Tulishasema hapa kutegemea michezaji mmoja tu ndo aamue ushindi ndo hivyo Sasa akipoteana munapoteana😂😂😂😂
 
Zoumaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
 
Kuna haja ya kuingia sokoni mkuu pale katikati panahitajika damu ya moto kabisa, twende kwa Tielemans maana HENDO jua limezama, keita ndio huyo trip shamba trip garage, Thiago ndio huyo hajamatch na mfumo mpaka leo, Milner jua limesha zama ameshasoma Kilometer za kutosha.
 
Ngoja nizame Yutubenga nicheki magoli ya wanangu westham
Asee nimeenda kucheki magoli ya wanangu westham ..dah aise walistahili ushindi, maana Salah anaruka ruka tu ..mipira yote inablokiwa. Allison kageuka kuwa Shati ata Kepa anaweza mkata namba, VVD anazungushwa tu huku na kule Kama bendera🤣
Fabihno ndio kabisa kawa takataka.
Hii timu Leo imecheza yote na bado imelabwa lambwa ..
Mane anaruka ruka tu hajui wajibu wake🤣🤣🤣😂😂

ByTheWay sisi bado ni unbeaten wakuu😭😭😭
 
mbona ndio magoli tunayofungwa kila mechi, staili hiyo hiyo na sioni timu ikibadilika kiuchezaji, mechi ambazo hatujafungwa ni zile Allison ameamka vizuri, lakini karibu kila mechi lazima itokee 1vs 1 against allison au setpieces upande wa TAA, hata mechi zijazo utaona hivo hivo kina Dijk wanakimbizana na watu tukipigwa counter, tutasema kiungo sijui wakae kina nani ila kwa huu mfumo tutapigwa magoli hayo hayo mpaka Klop ashtuke
 
Naona umebawa jana leo mapema ukamtumia ujumbe Zouma afanye jambo lake...

Matokeo haya ya leo ni ujumbe pia kwako na Pain killer haha mjiadae hawa jamaa hawatanii..

YNWA
Yani sisi tuwashindwe Hawa Westham????embukuwa serious mkuu.
Hao man shityee najua hawananpa kutokea.
Sisi Chelsea tutawamudu vizuri Hawa west ham

Unbeaten Kama ubeaten Kama unbeaten 😂😂😂🤣🤣
 
Yeah..dstv msimu huu wamesecure Europa League.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema bado canal ni bora mkuu, dstv mpaka compact plus ndo upate uefa yote ...ila huku 45k unajimwaga na kupambana na lugha...mechi zikichanganya huku nalipa bomba🤣🤣🤣 alafu kwingne full nabak na chenji...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…