Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Kila wanapomaliza game yao walikuwa wanakimbilia hapa lakini leo siwaoni ingawa wameshamaliza game yao!
Rent boyz
.Wamepata sare huko .sasa hivi akili zitaanza kuwa kaa sawa .
Kila wanapomaliza game yao walikuwa wanakimbilia hapa lakini leo siwaoni ingawa wameshamaliza game yao!
.Aiseee ishu kuu ndio hapo kutengeneza timu nadhani ilitakiwa Ole wakati ana saini atoe time flame ya kuanza kuleta makombe Trafford.. Hii ya kuweka timu vilaka inakua short cut.. Bila time flame hakuna watakachoweza kushinda labda wabahatishe...Mkuu sasa hivi imekuwa tofauti kidogo sio kama zamani.
Sasa hivi ukitumia hela nyingi kwenye usajiri haikupi uhalali wakuchukua ubingwa hapo Epl.
Mwaka ambao tuliochukua Epl Na klopp hapo Man U ndio waliongoza kwa kuspent hela kwenye usajiri.
Nachokiona kwa hao Man U watakuwa kuwa kama barcelona ya sasa maana hela wanatumia vibaya sana makombe hakuna ni swala la muda tu.
Wao akili zao zipo kwenye usajiri tu ndio matafanya vizuri kitu ambacho sio Kweli.
Wachezaji wao wengi hawajitumi kabisa yaaani wavivu na wanalipwa vizuri sana. Na kingine wachezaji na timu hawana leo moja la kuchukua Epl , nadhani wanataka kwanza watengeneze timu.
Yaaani EPL hua haina matokeo ya mfukoni aisee yaaaaani...Rent boyz.
Wamepata sare huko .sasa hivi akili zitaanza kuwa kaa sawa .
Nimependa speed ya OX aliyokuja nayo, kuna mipira akipewa anakuwa na speed sana wakati anauvuka mstari wa katikati yaani anawapa pressure timu pinzani.
Ni bora aendelee kuwa fit tuwe na depth ya kiasi, maana bundi msimu huu anatafuta pakuweka kiota na kashaanza kazi hiyo.
Hivi Keita anarudi lini ?
Huyu mwamba arudi(fab, hendo ,keita) palikuwa pameanza kunoga sana pale kati.
Tsimikas ni wakati wake huu dogo yuko na juhudi nzuri sana na kaanza kupunguza yale makosa ya mwanzo ya kupoteza mipira sana. Nategemea LB kuona rotation ya mara kwa mara kumpunguzia mizigo ROBO.
Nadhani ni wakati wa JOTA kutuonyesha uwezo wake wote alionao kupitia hii injury ya BOBBY.
HENDO bila FABINHO ni shit tu bado, hakuna chakufichaficha hapa.
Beki yetu inakuwa exposed sana pindi anapokosekana FAB3.
Ward zimejaa King, kwahiyo kwa miezi hii miwili hawezi kuumia,Ox kurudi Kitandani ni suala la muda tu

Anajikomba huyoHivi huyu Jack Wilshare kukosa timu ndio anajitoa kabisa uelewa au anajipigia dembe asajiliwa pale Westham..
Eti huyu dogo anasema Moyes yupo levo sawa na Supremo Klopp yaaani Moyes huyu huyu ama mwingine haya ngoja tuone kama dirisha ndogo Jack atasajiliwa na huyo Moyes...
YNWA
Sidhani kama Westham wagamsajili huyo. Kama akina Lanzini wenyewe kwenye panga pangua hawamo ndani huyo labda akisajiliwa aende kuwafulia akina Mark Noble viatu.Hivi huyu Jack Wilshare kukosa timu ndio anajitoa kabisa uelewa au anajipigia dembe asajiliwa pale Westham..
Eti huyu dogo anasema Moyes yupo levo sawa na Supremo Klopp yaaani Moyes huyu huyu ama mwingine haya ngoja tuone kama dirisha ndogo Jack atasajiliwa na huyo Moyes...
YNWA
Asepe zake America hana tena ishu EPL.
Hahaha Noble duuh huyu babu anashikilia rekodi kwa sasa kudumu kwenye klabu moja Europe akiwa yupo Westham Senior Team kwa miaka 16.Sidhani kama Westham wagamsajili huyo. Kama akina Lanzini wenyewe kwenye panga pangua hawamo ndani huyo labda akisajiliwa aende kuwafulia akina Mark Noble viatu.
Napita pita kwa pundits majuu naona wengine wanatarajia tupigwe ama sare..
Mimi waingereza bana nakuwaga na wasiwasi nao sana. Ila nimemuangalia Bowen naona ana kitu anaweza kutupa.Hahaha Noble duuh huyu babu anashikilia rekodi kwa sasa kudumu kwenye klabu moja Europe akiwa yupo Westham Senior Team kwa miaka 16.
Hivi huyu Edwards kabla hajang'oka akamilishe mapema usajili wa dogo Jarred Bowen chap January 2022.
YNWA